Operesheni vua gamba...vaa gwanda...

Ni kesho jumamosi tar 5-may-12....viwanja vya NMC (Tahrir Squire)...Arusha, kuanzia saa saba mchana....
ukisoma tangazo hili....mjulishe na mwenzio....
M4C....daima....

Afadhali umenifahamisha.Nilimuuliza Crashwise hakujibu.
Vipi ndiyo Millya anakabidhiwa kadi? Na ni viongozi gani watakuwepo?
 
Kesho kuna wanaccm wengi wanarudisha card za ccm kuchukua card za chadema.
 
Ni kesho jumamosi tar 5-may-12....viwanja vya NMC (Tahrir Squire)...Arusha, kuanzia saa saba mchana....
ukisoma tangazo hili....mjulishe na mwenzio....
M4C....daima....

At last Preta umeingia kwenye siasa kikamilifu, jiandae kuchukua jimbo la Yaeda chini.
Bila shaka kesho ni arobaini ya ccm hapo tahrir square!!
 
Last edited by a moderator:
Ni kesho jumamosi tar 5-may-12....viwanja vya NMC (Tahrir Squire)...Arusha, kuanzia saa saba mchana....
ukisoma tangazo hili....mjulishe na mwenzio....
M4C....daima....

Ngorika ya kwanza inafika saa ngapi Arusha naweza nikawahi
 
Kumbe ni Arusha.!!!!!!!. Sasa oparesheni gani hiyo, nijuavyo kanda ya kaskazini ni chadema wengi, sasa hii operesheni inakuwaje tena?
.
"Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
unaweza kutufahamisha....ng'ombe mwenye bei ni yupi.....?

Ngorika ya kwanza inafika saa ngapi Arusha naweza nikawahi

shem...Ngorika ya kwanza inatoka Dar saa kumi na mbili kamili asubuhi....inafika Arusha saa tano kabla ya lunch....utawahi vizuri....
 
Back
Top Bottom