St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,645
- 11,153
- Thread starter
- #161
Huyo lazima alikuwa anapata moja baridi moja motoUnaelewa unacho changia kweli ?..
Huyo lazima alikuwa anapata moja baridi moja motoUnaelewa unacho changia kweli ?..
Slogan ya Chadema ni maandamano kwanza ,maendeleo baadae.
Kwa huu upuuzi watu Wenye akili hawatabaki Chadema
Kasoro mkiamwambieni Manyumbu wakubwa wote watoke hadharani yani wakati wa maandamano wasijifiche hotelini waone Msukuma atakavyo watandika
hapo ndo ulipofikia katika kufikiri kwako?Mwenye macho haambiwi tizama ila huangalia mwenyewe na kuona kinacho tokea. Operesheni UKUTA imeratibiwa maalumu kwa kumuweka Magufuli kwenye mtego wa kwenda ICC na wananchi kumchukia kwa mkono uliojaa damu za ndugu zao. Ikiwa hakuna sheria inayozuwia mikutano ya siasa kufanya mikutano isipokuwa kauli ya raisi na polisi tu. Leo ikitokea kufanyika mikutano na polisi kuuwa wananchi wasio na hatia Vyama vya Upinzani na kufungua kesi Mahakama ya Afrika Mashariki na ICC serikali itajitetea kwa kutumia kipengele kipi cha katiba na sheria?
Baada ya kutumia akili unatumia tumboICC wako busy na kesi zenye mshiko, haya ya kupigwa marungu TZ hawana habari nayo. Wazungu tumesha waweka kwenye kumi na nane. Hata mkipigwa risasi watasema ni dawa yenu
Wewe mwenye fikra zaidi subiri matokeo utayaonahapo ndo ulipofikia katika kufikiri kwako?
Umeongea point nzuri sana kuna watu ndio ajira yao siasa bila ya siasa hawana ajiraHivi hujui siasa nayo ni kazi? maana kuna watu wanaodai kuwa muda wa siasa umekwisha sasa ni kazi nadhani hawaelewi maana ya neno kazi.
Siku utakayomuona icc njoo ucomment kama hivimwambieni Manyumbu wakubwa wote watoke hadharani yani wakati wa maandamano wasijifiche hotelini waone Msukuma atakavyo watandika
Wakikujibu nidipu.HIVI KWA MFANO,NIMEWAZA TU LAKINI.....
Ili chama kiweze kufanya mkutano au maandamano si wanapaswa kuomba kibali polisi,sasa kama CHADEMA wataomba kibali cha kufanya maandano ili kutekeleza hiyo operesheni UKUTA na polisi kukataa kutoa kibali kutokana na sababu za kiitelijensia,...
JE,Chadema watalazimisha kuendelea na mikutano na maandamano licha ya katazo la polisi???
Let's assume wameendelea na maandamano..
Na kama polisi wataamua kutumia nguvu sasa ya kutawanya mikutano na maandamano hayo,nani atakuwa kavunja sheria????
ICC kitu gani ww nchi hii sio ya wazungu ni yetu na tutaiendesha kwa mujibu wa makubalino yetu kikatibaSiku utakayomuona icc njoo ucomment kama hivi