Operesheni UKUTA njia ya kumpeleka Magufuli ICC

St Lunatics

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
6,645
11,153
Mwenye macho haambiwi tizama ila huangalia mwenyewe na kuona kinacho tokea. Operesheni UKUTA imeratibiwa maalumu kwa kumuweka Magufuli kwenye mtego wa kwenda ICC na wananchi kumchukia kwa mkono uliojaa damu za ndugu zao. Ikiwa hakuna sheria inayozuwia mikutano ya siasa kufanya mikutano isipokuwa kauli ya raisi na polisi tu. Leo ikitokea kufanyika mikutano na polisi kuuwa wananchi wasio na hatia Vyama vya Upinzani na kufungua kesi Mahakama ya Afrika Mashariki na ICC serikali itajitetea kwa kutumia kipengele kipi cha katiba na sheria?
 
Hili nalo ci la kukakamatwa kwa kesi. Ya kuombea nchi yetu mabaya kwa sheria namba 1septJPM2016
 
Domino effect ya confrontation iwapo nguvu itatumika ni mbaya sana.
Yaliyotokea Pemba mwaka 2001 yalimuweka BWM katika hali ngumu sana na Taifa lilitumia nguvu nyingi kurudisha image yake katika hali ya kawaida. Tuwe makini
 
Very timely arranged....! Kinachotokea ni kumchosha na kumuanika jamaa udhaifu wake na watendaji wake....ni mbinu za kisiasa kupima weledi wake na hekima yake...hili wengi hawajaligundua
Mwisho akifanikiwa kutoharibu atakuwa amechoka mno...angalia sasa operation UKUTA imemlazimisha naye aanze kuzunguka mikoani kama kipindi cha kampeni wakati huku kuna majukumu ya urais yanamsubiri
Haya mambo ya kisiasa angekiachia chama chini ya katibu mkuu . katibu mwenezi na viongozi wengine waifanye ili binafsi apate wasaa mzuri wa kushughulika na ya kitaifa
Wenzake wana majukumu ya kichama tu anataka kushindana nao....ikifika 2018 kwa mwendo huu atakuwa hoi mno na hiki ndio upinzani wanachotafuta
Ukitaka kumshinda mpinzani wako mchoshe mwili na akili
 
Slogan ya Chadema ni maandamano kwanza ,maendeleo baadae.

Kwa hali hii watu Wenye akili hawatabaki Chadema
 
Very timely arranged....! Kinachotokea ni kumchosha na kumuanika jamaa udhaifu wake na watendaji wake....ni mbinu za kisiasa kupima weledi wake na hekima yake...hili wengi hawajaligundua
Mwisho akifanikiwa kutoharibu atakuwa amechoka mno...angalia sasa operation UKUTA imemlazimisha naye aanze kuzunguka mikoani kama kipindi cha kampeni wakati huku kuna majukumu ya urais yanamsubiri
Haya mambo ya kisiasa angekiachia chama chini ya katibu mkuu . katibu mwenezi na viongozi wengine waifanye ili binafsi apate wasaa mzuri wa kushughulika na ya kitaifa
Wenzake wana majukumu ya kichama tu anataka kushindana nao....ikifika 2018 kwa mwendo huu atakuwa hoi mno na hiki ndio upinzani wanachotafuta
Ukitaka kumshinda mpinzani wako mchoshe mwili na akili
Naikubali hii nadharia!
 
ICC,ICC jaribuni basi kuandamana,halafu hiyo ICC inashitaki na wachochezi wa vurugu angalieni kina Ruto na Uk,kwa hiyo Mbowe nae atakwenda tu
 
Back
Top Bottom