St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,645
- 11,153
- Thread starter
- #181
Hata Saddam na Gaddafi walikuwa na kauli kama hizo za kibabe mwisho wake umeuona. Wazungu wanakuachia kama hujaingia kwenye zone zao lakini Tanzania inaingia huko. Nitakuja na uzi mwengine unaongelea Tanzania na mafuta na gesi hapo utanifamu vyema.ICC kitu gani ww nchi hii sio ya wazungu ni yetu na tutaiendesha kwa mujibu wa makubalino yetu kikatiba
ICC ataenda kibaraka wao chadema