Operesheni UKUTA njia ya kumpeleka Magufuli ICC

Mwenye macho haambiwi tizama ila huangalia mwenyewe na kuona kinacho tokea. Operesheni UKUTA imeratibiwa maalumu kwa kumuweka Magufuli kwenye mtego wa kwenda ICC na wananchi kumchukia kwa mkono uliojaa damu za ndugu zao. Ikiwa hakuna sheria inayozuwia mikutano ya siasa kufanya mikutano isipokuwa kauli ya raisi na polisi tu. Leo ikitokea kufanyika mikutano na polisi kuuwa wananchi wasio na hatia Vyama vya Upinzani na kufungua kesi Mahakama ya Afrika Mashariki na ICC serikali itajitetea kwa kutumia kipengele kipi cha katiba na sheria?
ICC haipokeagi kesi za kitoto kama hizo za UKUTA,inapokea mashtaka ya uhalifu wa kivita.Kwa hiyo hao UKUTA wanchokifanya ni sawa na kupiga mbwa rangi.
 
Mtoa post umeongea jambo nililokuwa nawaza, wale waliongalia kesi ya Ruto ICC live kupitia TV ndio wataelewa Mto post anachomaanisha. Statement kama zile za singida zinaweza mcost incase ikitoka tafrani yeyote.
Mungu akulinde sana mkuu , kazi kubwa ya vijana wa ccm ni kugombea posho na uteuzi tu , mimi binafsi nina uwezo wa kupambana kwa hoja na vijana wa ccm hata 1000 , ndani yao awemo na Mh waziri Nape.
 
Domino effect ya confrontation iwapo nguvu itatumika ni mbaya sana.
Yaliyotokea Pemba mwaka 2001 yalimuweka BWM katika hali ngumu sana na Taifa lilitumia nguvu nyingi kurudisha image yake katika hali ya kawaida. Tuwe makini
Ikibidi nguvu itatumika manake ndiyo maana ya kuwepo kwa vyombo vya dola.
 
Very timely arranged....! Kinachotokea ni kumchosha na kumuanika jamaa udhaifu wake na watendaji wake....ni mbinu za kisiasa kupima weledi wake na hekima yake...hili wengi hawajaligundua
Mwisho akifanikiwa kutoharibu atakuwa amechoka mno...angalia sasa operation UKUTA imemlazimisha naye aanze kuzunguka mikoani kama kipindi cha kampeni wakati huku kuna majukumu ya urais yanamsubiri
Haya mambo ya kisiasa angekiachia chama chini ya katibu mkuu . katibu mwenezi na viongozi wengine waifanye ili binafsi apate wasaa mzuri wa kushughulika na ya kitaifa
Wenzake wana majukumu ya kichama tu anataka kushindana nao....ikifika 2018 kwa mwendo huu atakuwa hoi mno na hiki ndio upinzani wanachotafuta
Ukitaka kumshinda mpinzani wako mchoshe mwili na akili
Well said my Bro. Siongezi cha zaidi. Time will tell.
 
Mwenye macho haambiwi tizama ila huangalia mwenyewe na kuona kinacho tokea. Operesheni UKUTA imeratibiwa maalumu kwa kumuweka Magufuli kwenye mtego wa kwenda ICC na wananchi kumchukia kwa mkono uliojaa damu za ndugu zao. Ikiwa hakuna sheria inayozuwia mikutano ya siasa kufanya mikutano isipokuwa kauli ya raisi na polisi tu. Leo ikitokea kufanyika mikutano na polisi kuuwa wananchi wasio na hatia Vyama vya Upinzani na kufungua kesi Mahakama ya Afrika Mashariki na ICC serikali itajitetea kwa kutumia kipengele kipi cha katiba na sheria?
Wakati Magufuli anaenda ICC,
Wewe Utakuwa KABURINI Muda huo.
MBOWE,LOWASSA NA FAMILIA ZAO WATAKUWA WAMEENDA IBIZA KULA BADA KABLA KUTIMKIA KWENYE NYUMBA ZAO HUKO DUBAI.[/100]
 
Mimi nashangaa mnajaza server tu hapa si kapangeni huo UKUTA wanaume huwa hawaongei sana ila hawa jamaa wanaojiita makamanda sijui wawapi midomo huwa hailipiwi VAT. talk is cheap.
September 1 siku ya Ukuta usiwe na haraka kama chura
 
Mbona Obama haendi ICC, maana kila siku waafrika wanachomwa risasi wakiwa wamelala chini huko kwa Obama. Na bado sijasikia hata mmarekani mmoja akisema ICC.
Kabla ya kucommet unatakiwa ufanye research kwanza jiulize marekani mwanachama wa icc?
 
hivi bado mnaiwaza icc,hamjifunzi hata ya hapo kenya tu jirani yalitokea na matokeo yake??kirahisi rahisi tu mnahisi hizo vurugu zenu zitampeleka magufuli icc??kwanza jiulizeni na mjitambue icj yenu mlisema majibu yake yapo wapi??
Kula chakula kwa uwezo wako usiangalie uwezo wa jirani yako
 
Back
Top Bottom