Operesheni UKUTA: Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA

Ni matumaini Yangu Police watailinda mikutano ya Chadema ya September 1 kama walivyolinda Mkutano wa CCM uliofanyika Dodoma July 23,kwa kuwa ni jeshi la Watanzania wote.
 
Nilifikiri nakutarajia kuwa kuwa Mbowe atatangaza kuwa kuanzia tarehe 01-09-2016 ni siku ya kwenda katika kila kona ya majimbo ya Chadema yote na kata na mitaa walizoshinda katika uchaguzi mkuu uliopita kushiriki na wananchi masuala ya maendeleo ikiwemo kuendeleza na kukusanya nguvu ya pamoja katika kuboresha na kujenga miundombinu mipya ya kuchochea maendeleo.

Ikiwa ni pamoja kupiga vita umasikini kwa kuhakikisha wanafunzi wanapata vyumba vya madarasa, vyoo safi, vifaa vya mashuleni ili waweze kusoma na kuelewa vizuri katika kuleta maendeleo na demokrasia zaidi ndani ya chama ambayo bado ipo chini sana katika chadema ili kukifanya chama kije kuwa na wanamainduzi na viongozi wazuri wa baadaye.

Badala yake Mbowe anataka kuendelea kupambana na polisi na serikali ya Rais Magufuli jambo amabalo litakipotezea muda mwingi chadema na mwisho wa siku hakuna jipya ndani ya chama na kubakia kuitwa chama cha vurugu na maandamano nyasiyo na tija kwa wananchi.

Mwisho niwahusie Mbowe na chadema, wanachotaka kufanya ni kosa la pili la kimkakati badala ya kosa la awali walilolifanya la kukimbia bungeni amabalo halina tija kwa wananchi wala waoi wenyewe.

Mbowe na chadema badala ya kuendelea kufanya makosa ya kimkakati zaidi amabayo hayana tija kwa wananchi waliowachagua na badala yake wanataka kuendelea na maigizo wanayotarajia kuyafanya, Chadema haiwezi kufanikiwa kwa kutunishiana misuri na jeshi la polisi pamoja na serikali, watafanikiwa kwa kuleta mabadiliko katika majimbo na kata wanazoziongoza ili mradi tu kuonekanane tofauti ya kiuongozi baina yaoi na ccm tu.

Katika hili wanalotarajia kutaka kufanya, hakika sasa pengo la Dr. Slaa limeanza kuonekana live ndani ya chadema na ni bora Lowassa akatafuta njia ya kutoka humo kwa kuwa hawezi kuizuia chadema na siasa za uhanaharakati na hilo litamletea heshima zaidi kuliko kubaki ndani ya chama ambacho hawataki kubadilika.
Ni kweli mkuu ni chama cha wanaharakati waswahili husema nduguyo msaidie faini siyo kesi viongozi wetu Chadema badilikine maana lol imekuwa ni maigizo siyo chama maana tumeanza na .
1. M4C
2. Ukawa
3. Utawa
4. Niaidieni tumechoka na huu usanii Mbowe tuachie chama chetu.
 
Ndio uzuri wa Uhuru wa kuwasiliana, hata kama hoja ni chovu ilimradi kuna Uhuru wa kuiwakilisha wanaume wanaileta. Nashauri wana jf jitahidini kutafakari kabla ya kuleta mada.
 
Magufuli hata afanye mazuri kiasi gani, kama ataendelea na jitihada za kuua demokrasia, ni wehu pekee ndiyo watakaomwunga mkono. Tunataka maendeleo katika maeneo yote ya haki za msingi za binadamu yaani maendeleo ya kiuchumi na kidemokrasia.
 
"Ukiona adui anakusakama ujue umemtwanga" JPM.

Operation Ukuta imewatwanga Chama Cha Majipu (CCM).
 
Yani hamna sehemu yoyote kwenye bandiko lao inayotaja rushwa na ufisadi!!
Yani Chadema wanatuambia Tz hamna rushwa wala ufisadi ila kuna udikteta tu???


Mbowe ajihudhuru kwa kuua chama
Wewe mwenyewe hujawahi kutoa au kuchukua rushwa?
 
Mtu kama hujui majukumu ya vyama vya siasa kaa kimya utulie .
Operation UKUTA inawahusu kwakuwa hakuna namna nyingine tena.
 
Ushaambiwa...kupanda vyeo chadema kunatokana degree ya ukaidi pamoja na idadi ya kusekwa rumande- Mpendazoe (23 July 2016)
Mpendazoe anajulikana vilevile kama ng'ombe aliyekatika mkia. Fome CCM to CCJ to CDM and then back to CCM. Huyo ni mtu wa kumsikiliza? Msakatonge wa kawaida kabisa. Hata CDM kila nafasi aliyogembea alibwagwa vibaya. Habebeki huyo.
 
Moja ya Mambo waliyoanisha UKUTA kuyapigania eti ni safari za nje kwa watumishi wa Umma! Ni hawa hawa wakati wa Jakaya walikuwa wanalalamika safari za nje kwa watumishi wa Umma!
Jamaa anasema vyama vyote viungane wakati hajawashirikisha kwenye kuunda ukuta.... kama ni udikiteta sisi kwanza ndani ya chadema tuutoe siyo gia angani na uchaguzi ufanyike bhana
 
Back
Top Bottom