open university of tanzania ni chuo au center ya kufanyia mithihani

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
jamani mimi sielewi hii elimu ya chuo hiki........inayotoa maana naona wanafunzi wake wengi wanasoma tution kama wanafunzi wa sekondari mitaani halafu wanafanya mitihani basi hivi si kama center ya mitihani
 
Watanzania tunapinga hata tusivyovijua. Kama kitu haukielewi ni bora uulize tu.
 
Huyu Senetor mpaka leo hajui maana ya Open University?? kweli wasomi hatuna humu JF.

  • :shock:
 
Mtoa hoja umekurupuka toka usingizini? Hebu kanawe uso kwanza ndipo ufikiri hoja ipi inafaa. Maana si sahihi kusema matamshi kama hayo yanayofanana na mtu aliyetoka usingizini bila kujua kama kumekucha ama bado....!
 
mmmmmm........

OUT- LESS COMPETENCE
Boss wangu kasoma hapo, kazi kuanzisha migogoro kazini.

CHUO OVYOOOOOOOOO
 
jamani mimi nimependa kueleweshwa kwa anayefahamu maana ya open basi anipe maelezo kuhusu hiki chuo...
 
jamani mimi nimependa kueleweshwa kwa anayefahamu maana ya open basi anipe maelezo kuhusu hiki chuo...

vitu kama hivi unaweza kusearch online, wel ni chuo kizuri sana kwa wafanyakazi ambao hawana muda wa kuhudhuria madarasa kila siku... search mwenyewe bana maana kuna njia nyingi saaaaaaana za kusoma OU
 
:A S-coffee:kwa kukusaidia ndugu yangu ni kwamba,pale out si lelemama kama unavyohisi,mbwete kabadilisha mfumo,hakuna sijui assnment km vyuo vingine kuwa vitakupatia pass za bwerere kukuongezea,pale msuli kaka. unafanya test 1 then final. ndo maana unaona watu wanavamia madarasa mlimani kusoma.
acha kuponda kitu usichokijua,miaka yetu ulikuwa ukichanguliwa Sua tulikuwa tunaona umefeli sana,saa hz wengi wanaona chuo kizuri:high5:
 
mmmmmm........

OUT- LESS COMPETENCE
Boss wangu kasoma hapo, kazi kuanzisha migogoro kazini.

CHUO OVYOOOOOOOOO

Mkubwa,tatizo ni hulka ya huyo mtu na sio chuo alichosoma.
OUT hawafundishi watu kugoma.
Na wewe kushindwa kuelewa sio chuo ullichosoma ila ugumu tu wa akili husika.
OTIS
 
Back
Top Bottom