ooops hii picha niaje ????

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,375
Masai-Woman.jpg
 
Ukiangalia kwa makini utagundua kuwa mtoto ni yuleyule kapachikwa kila sehemu.
 
inasema sisi wote watoto wa mama mmoja.
tupendane tumalize ufisadi vinginevyo mama
ataelemewa
 
Mtoto ni yule yule na ka-inzi jichoni ni kalekale. Maendeleo ya duka la Picha
 
Mtoto anapiga sarakasi kwa mama. mtundu huyoooooooooooo. anamchungulia mother.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom