Oooh Gosh. kwa nini mnakuwa hivi jamani.....?

yeah. Mkulu mwenzangu uyo.Usijali utampata afaaye tu GS.

Big-up Mkulu,

Tuwape moyo wadogo zetu na tusiwatishe au kuwakatisha tamaa. Ingawa ukweli uko pale pale kwamba mambo siyo mtelemko. Lazima kukomaa na kuweka mambo kadri ya ndoto zako. Shida kubwa ni kwamba baadhi ya washikaji hawakuwa na ndoto. Wao walitamani kuona siku moja wako ndani au wameweka kitu ndani. Huo ndio mchezo wa kununua majuto. Tuendelee kuwasaidia ingawa nasi tunahitaji msaada na pia kukumbushwa tulikotoka. Ukiniambia nianze kutafuta mchumba leo ni afadhali nichapwe hata viboko 40! Ni kazi kweeli. Lakini kila kitu kinaisha ili kingine kianzie hapo! G will come and tell us soon.
 
hahahaaa wako alikuwa anakutest!!!!!!!! hongera lakini mlimudu kuvuka salama. sasa unaona?????????? , kama ungekuwa unampokea na kuuliza kachelewa wapi, angeamini kuwa unamjali lakin ungempokea na matusi na kashfa, angekudunda lazima. hekima inalipa sana wapendwa............

Mh mie kuna siku nilijibiwaga vya kujibiwa nikabakia domo wazi-toka siku hiyo niliamua kuwa kimya akija asubuhi sawa, akija kumi na mbili jioni sawa tu hakuona rangi ya jino langu tena.
 
Part two ya hii habari.....
Nimejaribu kuongea na huyu mwanamama kasema anaenda Police kutoa report kwani amekuwa akipata kipigo cha mala kwa mala bila huruma
Ni kweli wengi mmeniuliza kama najua ugomvi wao ni wa mala kwa mala au lah mie nimewahi kushuhudia ugomvi siku moja mama alikuwa mjamzito mimba miezi 7 lakini alipata kipigo kisa ameenda kanisani amechelewa kurudi home ilikuwa mida ya saa nane mchana jamaa kamshikia na kisu ..ilibidi dada atimue mbio na tumbo lake
Pia kwa mie ninavyomfahamu huyu jamaa ni mtu ambaye anapenda sana totoz wife kamvumilia kwa matumaini labda iko siku atabadirika
Hitimisho..Mwanamama kaniomba nimsindikize Angaza akaangalie kama yuko Fresh ili afate hatua zingine anazojua mwenyewe
Ni hatua gani hizo? kasema atatoa majibu pale atakapojua matokeo yake yako vip
Ila sijui kama ni hasira au ameamua kutoka moyoni mwake kufanya hivi
bado nitaendelea kuongea nae
 
Kwa hiyo unasema ume-concede? Hiyo pia ni hatari.
Ndo maana siku ile ulikuja na topic ya Angaza? You still need to do something. Being passive or hyper-active doesn't help!
 
Big-up Mkulu,

Tuwape moyo wadogo zetu na tusiwatishe au kuwakatisha tamaa. Ingawa ukweli uko pale pale kwamba mambo siyo mtelemko. Lazima kukomaa na kuweka mambo kadri ya ndoto zako. Shida kubwa ni kwamba baadhi ya washikaji hawakuwa na ndoto. Wao walitamani kuona siku moja wako ndani au wameweka kitu ndani. Huo ndio mchezo wa kununua majuto. Tuendelee kuwasaidia ingawa nasi tunahitaji msaada na pia kukumbushwa tulikotoka. Ukiniambia nianze kutafuta mchumba leo ni afadhali nichapwe hata viboko 40! Ni kazi kweeli. Lakini kila kitu kinaisha ili kingine kianzie hapo! G will come and tell us soon.
Huu ni ushauri toka mdomoni mwa farasi mwenyewe.

Aksante DC
 
Kwa hiyo unasema ume-concede? Hiyo pia ni hatari.
Ndo maana siku ile ulikuja na topic ya Angaza? You still need to do something. Being passive or hyper-active doesn't help!
Hapana hii ilikuwa ni kabla ya kulivua maana nilishindwa mie.

Topic ya kupima haihusiani na maisha yangu halisi DC
 
Inasikitisha sana kwa huyo mama na watoto kupigwa na kukurupushwa nyumbani usiku huo na mtu ambaye ni mume na baba wa hao watoto.
FL1
Najaribu kujiuliza huyu jamaa alikuwa amelewa? yaani hii ni kawaida yake au first time?
Tumesikia upande wa huyu mama kwa alivyokuaeleza/ulivyotuambia je una labda habari ya upande wa pili kwa huyu bwana?

Ni hatari sana, lakini kwa wote wanao ogopa kuolewa kwa ajili ya mambo kama haya , naomba tusikate tamaa, kama wengine walivyosema , tuchunguze hao waume watarajiwa kabla ya kukubali kufunga ndoa. Hii inasaidia kujua tabia zao kabla hawajatugeukia.

Wa salaam.
 
Part two ya hii habari.....
Nimejaribu kuongea na huyu mwanamama kasema anaenda Police kutoa report kwani amekuwa akipata kipigo cha mala kwa mala bila huruma
Ni kweli wengi mmeniuliza kama najua ugomvi wao ni wa mala kwa mala au lah mie nimewahi kushuhudia ugomvi siku moja mama alikuwa mjamzito mimba miezi 7 lakini alipata kipigo kisa ameenda kanisani amechelewa kurudi home ilikuwa mida ya saa nane mchana jamaa kamshikia na kisu ..ilibidi dada atimue mbio na tumbo lake
Pia kwa mie ninavyomfahamu huyu jamaa ni mtu ambaye anapenda sana totoz wife kamvumilia kwa matumaini labda iko siku atabadirika
Hitimisho..Mwanamama kaniomba nimsindikize Angaza akaangalie kama yuko Fresh ili afate hatua zingine anazojua mwenyewe
Ni hatua gani hizo? kasema atatoa majibu pale atakapojua matokeo yake yako vip
Ila sijui kama ni hasira au ameamua kutoka moyoni mwake kufanya hivi
bado nitaendelea kuongea nae

Chochote atakachotaka kufanya kwa sasa na ili mradi hujamlazimishe msaidie tu. Ikibidi tafuta na mshikaji mwingine msaidiane kumshauri. Afanye tu yale aliyoamua na siyo mnayotaka nyie msije nunua kesi bure. Mpeni support tu.
 
Part two ya hii habari.....
siku moja mama alikuwa mjamzito mimba miezi 7 lakini alipata kipigo kisa ameenda kanisani amechelewa kurudi home ilikuwa mida ya saa nane mchana jamaa kamshikia na kisu ..ilibidi dada atimue mbio na tumbo lake
Pia kwa mie ninavyomfahamu huyu jamaa ni mtu ambaye anapenda sana totoz wife kamvumilia kwa matumaini labda iko siku atabadirika

Wanasema ukishamruhusu mwanaume kukupiga mara ya kwanza ukamchekea, he will always do that. Sasa huyo mwenye guts za kumpiga mama mjamzito tena miezi 7 lazima atakuwa alishapiga sana tu.
 
Inasikitisha sana kwa huyo mama na watoto kupigwa na kukurupushwa nyumbani usiku huo na mtu ambaye ni mume na baba wa hao watoto.
FL1
Najaribu kujiuliza huyu jamaa alikuwa amelewa? yaani hii ni kawaida yake au first time?
Tumesikia upande wa huyu mama kwa alivyokuaeleza/ulivyotuambia je una labda habari ya upande wa pili kwa huyu bwana?

Ni hatari sana, lakini kwa wote wanao ogopa kuolewa kwa ajili ya mambo kama haya , naomba tusikate tamaa, kama wengine walivyosema , tuchunguze hao waume watarajiwa kabla ya kukubali kufunga ndoa. Hii inasaidia kujua tabia zao kabla hawajatugeukia.

Wa salaam.

Thanx mpendwa leo nikifika itabidi nikamsikilize na huyu mme wa huyu madame anipe chanzo ni nini hasa cha kupelekea kutimua hata watoto..
nikijaribu kuangalia mida hiyo watoto walikuwa wamelala ina maana aliwaamsha ashindwe na alegee
 
[/FONT]

Wanasema ukishamruhusu mwanaume kukupiga mara ya kwanza ukamchekea, he will always do that. Sasa huyo mwenye guts za kumpiga mama mjamzito tena miezi 7 lazima atakuwa alishapiga sana tu.

huyu ndo mume kweli
mijitu mingine bora ikae tu bila kuoa (kufata mkumbo wa kuoa)
 
Thanx mpendwa leo nikifika itabidi nikamsikilize na huyu mme wa huyu madame anipe chanzo ni nini hasa cha kupelekea kutimua hata watoto..
nikijaribu kuangalia mida hiyo watoto walikuwa wamelala ina maana aliwaamsha ashindwe na alegee

Tena kuwa MAKINI mpendwa unapoenda kupata news kwa huyo baba usiwe peke yako, kwani waweza tolewa manundu tukakukosa jamvini. Nenda na mumeo ikiwezekana na jirani mmoja mwenye busara.
 
sasa kama mambo yenyewe ndo haya mie si bora niingie chama cha kina Kiranga basi mama ushauri!! unanitisha ujue!!! (ila mi ntafuata nyendo zako....u knw wat i mean hahaaaaaaaaaaa)
i cant wait to see you yaani dah!!

Kiranga wewe ni Bruda!!!??

mie ctaki utishike, lakini hapo hapo ucweke kifua mbele sana, kuna raha/karaha zake humo,nasubiri mualiko tu haya ya humu yaachie humu humu mami, sawa dearest?
 
sawa mpenzi
ni kweli lakini kila kitu kina raha na karaha yake
hata kazi zinazotupa riziki zina raha na karaha!!!
 
Back
Top Bottom