Oooh Gosh. kwa nini mnakuwa hivi jamani.....?

thanks AK kuna kipindi nilijaribu kuwa mkimya zaidi nikaambiwa kiburi
nikajaribu kuongea nikaambiwa mjuaji
ila thatha najitahidi kuwa vere nyuturo;)

inaonekana bado hujamuelewa vizui, mi nashauri uendelee tu kumsoma bila kuchoka hadi utakapomuelewa vizuri. hata kuwa neutral anawezakusema una dharau!!!!!!!

ila kumbuka always usiondoke kwenye nafasi yako kama mke.......... ni mihumu sana kubaki mke naturally throughout
 
mmh jamani haya mambo ya mahusiano magumu

FL1 nisaidie hapo kwenye nyutro unakuwaje mpendwa maana na mie hizo bold nimezieksipiriensi sana tu

bht wewe ukikaribia ku marry niambie nikupe hizo mbinu neutral ;)
unajua haya mambo bwana hehehe ...
 
inaonekana bado hujamuelewa vizui, mi nashauri uendelee tu kumsoma bila kuchoka hadi utakapomuelewa vizuri. hata kuwa neutral anawezakusema una dharau!!!!!!!

ila kumbuka always usiondoke kwenye nafasi yako kama mke.......... ni mihumu sana kubaki mke naturally throughout

Akili Kichwani niko neotral na ndoa yangu iko very Tambarareeeeeee..maisha saaaafi
ila kama alivyosema mama Nyamayao ..inabidi tujifunze kusoma nyakati..
 
here you come my dear!! akupeleke yeye afu tena aje mlale huko selo, sasa si bora mngekaa home pamoja mkaanza mchakato wa kujisuluhisha

Jamani makosa ya jinai kumpiga mwenzio......

hehehehe,,ndo maana wakasema mwanamke anapigwa kwa upande wa kanga

ukishindwa hilo u deserve kulala polisi!

Hizi kesi za kila siku kuwa fulani amuua mkewe/mumewe kwa sababu za kimapenzi mngependa ziendelee for the sake of 'kumaliziana mambo 'ya ndani'?

Nishasemaga sio kila mtu is meant to be a wife/husband in the strict sense..wengine tunaingia kwa kuiga tu basindo kisa cha haya yote...

Binamu yangu wa ukweli hebu nipe maoni ya kitaalam hapo?
 
hahaaaaaaaaaaaaaaa mama ushauri nilikumis ujue!!!!!!!!!!!1 dah wewe kweli nataka tukutane as soon as u are here kutoka huko kwetu!!!

2ombe uzima dearest! kuna vitu vinakwaza sana kwenye ndoa jamani, sasa mtu anaamua tu kukufanyia vituko kwa vitu ambavyo kaongea na mamake bila kukushirikisha then anajiamulia tu kukukomoa, haa akakuta hapa cpo kbsa...na mpaka leo cjatekeleza wanalolitaka, niongeze mtoto inahusu? ni mie na mr tunapanga sio mtu wa3....kuhusu huyo mama alietimuliwa, ackilize roho yake inasemaje jamani,mana kuna wengine wanaogopa jamii itawafikiriaje atakapochukua uamuzi b, wengine kama sie ndio anataka kunitimua kihivyo ni kwamba tunaparangana mpaka familia nzima ilale nje, ningehakikisha wote tunalala kibarazani pamoja na yeye kukikucha tutajua cha kufanya.
 
uzungu upi mnaozungumzia hapa jamani??? urudi usiku nisikuulize, nichekelee ndo uafriza/uswahili au ndo kudumisha tamaduni
Kimey na Fide hebu wekeni wazi .............
Sio kuhusu kurudi usiku ndo uzungu....la hasha bibie yani kuna vijimambo flani sometimes nahisi ni hizi tamthilia ndo zinaleta...so Fide aliposema Isidingo ndo nikakumbuka kitu....
By the way mambo vp?
 
Ni mwanamama mwenye watoto watatu 10,yrs 7yrs and 3years
Jana husband wake kamshushia kipigo cha mbwa mwizi na kumfukuza kwake saa saba usiku na wanae na kukimbilia kwangu kisa eti mwanamke anamfata fata sana hataki mkewe aulizie maendeleo ya familia ,hataki mkewe aguse simu yake na pia hataki mkewe amuulize kama hakurudi home alikuwa wapi na kwa nini amechelewa .....Hii ndio maana ya ndoa?
Mie kama mwanamke kwanini machozi yasinitoke .nimewaza na ,nimeumia sana juu ya hili labda inaweza kutokea kwangu pia..
Wanaume kwa nini mnakuwa wakatili hivi??
Hamuoni huruma juu ya watotokwa watoto wadogo wanaohitaji mwongozo wa wazazi ?
kwa nini kuwatesa watoto usiku wa manane na kuwaamsha kama wakimbizi ndani ya nyumba yao ?
Hali hii ya manyanyaso itaisha lini ??

FL1,

Hebu shughulikia hilo tatizo kwanza na ushauri mwingine tutakupa baadaye. Rudisha huo mzigo kwa wenyewe haraka sana. Muulize mhusika anataka kufanya nini katika hali hii. Kama anataka kwenda polisi sawa, kwa mumewe ndo poa au kwa wazazi wake safi tu! Usibebe misalaba ya wengine kwani ni Yesu tu aliweza. Utatoka nundu bure! Msaada uliotoa usiku unatosha na huna lawama hata mbele ya Mungu.

Mambo ya ndoa yana utata sana. Binafsi siungi mkono matumizi ya nguvu. Lakini kila case ni unique. Huwezi jua, hiyo ndo adhabu ilimstahiri huyo mama. Wasuluhishi watajua nani mkosaji kama ikibidi wasuluhishwe vinginevyo wao ndio alpha na omega ya ugomvi wao!

Cio.
 
Jamani makosa ya jinai kumpiga mwenzio......

hehehehe,,ndo maana wakasema mwanamke anapigwa kwa upande wa kanga

ukishindwa hilo u deserve kulala polisi!

Hizi kesi za kila siku kuwa fulani amuua mkewe/mumewe kwa sababu za kimapenzi mngependa ziendelee for the sake of 'kumaliziana mambo 'ya ndani'?

Nishasemaga sio kila mtu is meant to be a wife/husband in the strict sense..wengine tunaingia kwa kuiga tu basindo kisa cha haya yote...

Binamu yangu wa ukweli hebu nipe maoni ya kitaalam hapo?

B hivi unajua polisi ukienda na issue ya kupigwa na mume/mke wanakwambia kamalizieni nyumbani???
 
Sio kuhusu kurudi usiku ndo uzungu....la hasha bibie yani kuna vijimambo flani sometimes nahisi ni hizi tamthilia ndo zinaleta...so Fide aliposema Isidingo ndo nikakumbuka kitu....
By the way mambo vp?

mmh hamkosagi xcuses nyie. kajisemea Nyamayao mkitakaga bifu hamkosi sababu nyie.

niko powa kama hivi tunaamka na kesi za ndoa......ndo maisha yenyewe
 
Tatizo lenu hamjui ni wakati gani wa kumuuliza mwanaume swali A B na C!
- Maisha sasa ni magumu, mumeo akiwa na elfu tano halafu wewe unamuuliza mabati ya kuezeka nyumba yetu ya Kigamboni tutanunua lini hii ni tantamount na TUSI la Nguoni!

Katikati ya Mwezi sio muda muafaka wa kuulizana "MAENDELEO YA FAMILIA"! Tegea kuanzia Tarehe 28 ya mwezi mapaka 5 ya mwezi unaofuata baada ya hapo muache andelee kulala baa (BIA za OFA hizo)!

yeye kuwa na shs 5 elfu mfukoni hakumaanishi mie nishindwe kumuuliza kuhusu maendeleo,mana nauliza tunapanga na najua hata mie hizo tarehe ni mbaya lakini tunapanga ikifika tarehe hucka tunafanya utekelezaji tu, mnaishiwaga ndio na mpaka wakati mwingine utackia mami hebu nikope laki , unamwambia wee chukua tu mkopeshano kwenye mapenzi wapi na wapi...wengine wachaga tunaijua pesa.
 
B hivi unajua polisi ukienda na issue ya kupigwa na mume/mke wanakwambia kamalizieni nyumbani???

Kama aliyepeleka kesi bado yupo yupo ataambia hivyo tu. Kwa hiyo inategemea kama mwenye kupeleka kesi ameamua au anabeep tu!
 
B hivi unajua polisi ukienda na issue ya kupigwa na mume/mke wanakwambia kamalizieni nyumbani???

Hawa polisi hawajasoma sheria au mi ndo sijui sheria ya makosa ya jinai? ivi majuzi miss lundenga si amesweka lupango na king'asti wake kwa kosa la 'shambulio la kudhuru mwili na kuharibu mali'? LOL

Sasa kama unampiga mkeo ipo kwen TOR za ndoa? dah...
 
Phweeee yaani hata sijui niseme nini. Pole sana mwanamke mwenzangu.

Najaribu kufikiria dunia ya kufikirika

Laiti tungekuwa twaishi dunia iso na magonjwa kama UKIMWI ambayo yanaambukiza mume wangu katu asingekuwa ananisikia nikifunua domo langu kumwuliza umechelewa usiku umetoka wapi au kuuliza alikolala.
Katu hataniona nikigusa simu yake wala kuchungulia sanduku lake la barua
Hangenisikia nikiuliza aendako wala atokapo.

Laiti tungekuwa tunaishi kwenye dunia hii ya kufikirika

Some men are evil
 
mmh hamkosagi xcuses nyie. kajisemea Nyamayao mkitakaga bifu hamkosi sababu nyie.

niko powa kama hivi tunaamka na kesi za ndoa......ndo maisha yenyewe
Ha ha ha wala sio excuses sometime unabaki kimya tuu!! Hapo kwenye nyekundu yaani acha tuu....yah thats life!
 
Hawa polisi hawajasoma sheria au mi ndo sijui sheria ya makosa ya jinai? ivi majuzi miss lundenga si amesweka lupango na king'asti wake kwa kosa la 'shambulio la kudhuru mwili na kuharibu mali'? LOL

Sasa kama unampiga mkeo ipo kwen TOR za ndoa? dah...

hahaaaaa binamu bana acha utani sasa aaaah !!!

umenipa wazo hapo kwenye bold, mie naona yangu tutawekeana hizo
haaaaaaaaaaaa!!!

anyways polisi hao ndo wanoipindisha sheria kwani kuwa wanandoa ndo kuna-dilute hiyo jinai basi?? wao tu wanajiamuliaga na pengine kutokana na precedent kuwa wanandoa wengi hupeklekana polisi afu kwsho yake mtu anasema aaah ngoja tukayamalizie nyumbani!!
 
mmh hamkosagi xcuses nyie. kajisemea Nyamayao mkitakaga bifu hamkosi sababu nyie.

niko powa kama hivi tunaamka na kesi za ndoa......ndo maisha yenyewe

bht! nakwambiaje, hawa watu wakiamua kukutibua watakutibua tu...hata akikuta mtoto anacheza utaambiwa kwanini mtoto anacheza saa hizi na ni muda wa kulala,muda wa kulala saa 12 jioni? bac ili mradi tu akukwaze umjibu bac alianzishe...muingie jamani nawaombea sana muingie mkuwe zaidi,mana makuzi yote yanaishia kwenye ndoa.
 
bht wewe ukikaribia ku marry niambie nikupe hizo mbinu neutral ;)
unajua haya mambo bwana hehehe ...

FL1,

Kwanza wataka kuniambia ndoa ina formula?

2nd hilo tukio ni zito sana ni si yameanza leo na nina uhakika FL1 umeisha yashuhudia baadhi ya mambo kutoka kwa jirani yako kama kweli mwakaaa uziio mmoja na hilo lililo tokea jana ni lakushangaza.

Katika ndoa kunahitajika mawasiliano mazuri na yaumakinifu kati ya m'me na mke, na kwaupande wa hao waliogombana wamelilea hilo tatizo muda mrefu yani mpaka yafikia hatua ya mke kupigwa na kufukuzwa ndani ya nyumba? kuna jambo kubwa sana hapo yapaswa wazazi au marafiki wakaribu wao washirikishwe pia.

Lafu FL1 huyo dada anapaswa akuambie ukweli wa mambo usikute nae huwa anakiburi cha kujifanya anajua sana pale alezwapo kitu nakujibu haraka haraka na kuja juu, au humkalipia mumewe pindi achelewapo kurudi nyumbani"Ulikuwa wapi au ulikuwa kwa mahawara zako, ooh we endelea tu kwanza umeisha lewaaa!!,na hao marafiki zako ivi kweli hamjui kama mna wake majumbani?hao marafiki zako wnakusaidia nini baba naniii!!" kwa style hiyo kweli kwa mwanaume mwenye hasira lazima tu atampiga mkewe au kunasa vibao.

Ningependa tu kumshauri huyo dada pindi tu pale watakapo resolve hilo tatizo ajaribu kushuka chini na kuwa mkimya tu wala asimfuatilie mumewe kiivyo yeye akae zake kimya tu mume karudi usiku we uchune, kakuulizi habari za watoto mjibu vyema tuu, hata simu yake ikiita mwamnbie simu inaita na wala usirukie simu yake pindi katoka job.

Nakwambia huyo mumeo atajishtukia siku na kujirudi mwenyewe bila kupenda.maana ataanza kuhisi huyu wife vipi sio kama zamani au kuna serengeti boyz nini mbona kabadirika.

Phweeee yaani hata sijui niseme nini. Pole sana mwanamke mwenzangu.

Najaribu kufikiria dunia ya kufikirika

Laiti tungekuwa twaishi dunia iso na magonjwa kama UKIMWI ambayo yanaambukiza mume wangu katu asingekuwa ananisikia nikifunua domo langu kumwuliza umechelewa usiku umetoka wapi au kuuliza alikolala.
Katu hataniona nikigusa simu yake wala kuchungulia sanduku lake la barua
Hangenisikia nikiuliza aendako wala atokapo.

Laiti tungekuwa tunaishi kwenye dunia hii ya kufikirika

Some men are evil

na hicho ndicho kinafanya kilamtu awe na hofu na atake kuhoji lakini inapofikia mtu anaona unamsumbua bac ni bora mtu ukae kimya tu usubirie akichoka arudi, ni ngumu sana kuvumilia lakini inabidi tu iwe hivyo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom