Obuntu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 510
- 34
Takribani miaka mitatu sasa nimekuwa msomaji mzuri sana wa hili jukwaa (MMU) na baada ya kupitia "threads" takribani 500 nimeona kuna kitu kimoja kinachofanana sana katika hizi "threads"... Nyingi ni za "Ulalamishi/Ushauri wa mahusiahano"!
Ningependa kufahamu,
Je, Inawezekana wachangiaji wengi au wapenzi wengi wa MMU ni wale waliokwisha kutendwa (broken-hearted) Au wengi wako katika safari ya ku-recover kutoka katika kutendwa Au wengine bado wapo katika kutendwa???
Nawakilisha: