Onyo kwa wanachuo wa UDSM

Ni jana tu tulikuwa tunasherekea krisimass karibu wakristo wote duniani, ni sikukuu ya kumshukuru Mungu kwa kumleta mwanae wa pekee ambaye alikuja kutuokoa na dhambi zetu, kwa ujmla tunaoaswa kusherekea kwa furaha na amani, lakini si wote ambao hutumia sherehe hizo kwa kumheshimu Mungu, wengi wetu hujikuta tukifanya dhambi kama uzinzi, kunywa pombe kwa kupindukia, kudanganya (hasa katika mawasiliano ya simu n.k) n.kHapa UDSM kwa jana wanachuo wengi hawakuwepo maeneo ya chuo, karibu mchana wote mpaka mida ya usiku kama saa nane saa tisa n.k, nlijaribu kutoka nje kidogo ya campus nami nikaenjoy sikukuu, cha ajabu ndugu zanguni karibu maeneo mengi ukianzia survey , mwenge, sinza n.k wanachuo wengi walikuwa po huko. SI MBAYA KUWAPO HUKO KWANI SOTE TUNASHEREKEA.Ilipofika mida ya saa saba, ndipo ndugu zangu a.k.a watoto wa wakulima wakaanza kuingia chuo na bajaji pia bodaboda wamelewa vibaya huzani kama ni wasomi, na boom tulilopewa hili ni baya kuliko yote kwani kuna sikukuu ya xmass na mwaka mpya hivyo ukitumia vibaya boom hilo yamkini hata MTIHANI WA MWISHO HAPO JANUARY 2012 usifanye vizuri kwa kukosa pes, isitoshe sisi tukaao mbali tunahitaji nauli za kurudia huko na hali boom hilohilo ndo tunalitegemea.NDUGU zanguni, mi hatutakubaliana na mgomo wowote utajitokeza semister hii, eti kwasababu boom limeisha unless otherwise.

Wewe tu na umasikini wako kamanda, wenzio wenye usawa ulokaa makini haina kwere. Sio kila mlevi ni malaya au mtumiaji asiyekuwa na akili.

Changanya zako na za mbayuwayu pia
 
Wewe tu na umasikini wako kamanda, wenzio wenye usawa ulokaa makini haina kwere. Sio kila mlevi ni malaya au mtumiaji asiyekuwa na akili.

Changanya zako na za mbayuwayu pia

afu anadhan kila mtu ni mchovu mwenzie..aige afe.
 
mimi nilkuwa nawaambia mapema ukiuwawa tusisumbuane mbeleni maana hali ilikuwa mbaya sana karibu na mwisho wa semi, unakuta mtu hana hela ya kula, dawa ya meno, mafuta, sabuni ya kuogea, nauli etc anaomba msaada mpk machozi yanamtoka .....mara wizi unaanza... na kwa watoto wa kike basi ndio kipindi cha kuharibikiwa unakuta mataxi driver, wakaanga chips, wenye maduka karibu na chuo wote wanajiponea kwa dada zetu
 
Ninachojua Fanya Starehe Uwezavyo ila Usimdhuru mtu.Suala la kuishiwa lipo,ila tusifuje hela ,fanya starehe kwa bajeti zako na una Uhuru ila Uhuru ukizidi ni Utumwa
 
Wanafunzi wa sasa waoga sana yani me ningekuwa mwanafunzi leo ningelipua makazi ya mkandara hapo,na kuna kipindi ticha flani hapo alikua ananizingua na nilipanga nilipue utawala sema tulienda nae sawa,hawa washenzi dawa yao ni kulipua yani mnashindwa kujioganaiz wanafunzi hata wa5 mkanunua guruneti na kulipua utawala? Kama mbwai mbwai tu hii nchi mbele haitotawalika biliv dat I'm tellin y'all buddiez
 
Back
Top Bottom