Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

JF bana kila tarehe 12 hua naona sio nzur kwa bwana mdogo...
Toka 12 Dec mnamuandama bwana mdogo..
 
Hahahahah kumbe umefurahi basi endelea kufurahi

Mimi TMT sikuwahi enda forex nimejifunza kwa kujisomea mwenyewe vitabu na naifanya kimya kimya .

Simdai Ontario hata sumni ila namlaumu kwa kushindwa kukeep good image ya forex

Leo hii mmeibuka watu kama nyie
Forex ni biashara inayojitegemea. Kwanini umlaumu Ontario kwa kushindwa kuendesha biashara yake? Ama una share TMT? Ama vipi hapo?
 
Dah mie mgeni humu ila nimecheka sama...mama sabrina na engneer wanavochambana.

Ngoja niongeze siku za kuishi mie
 
Dah mie mgeni humu ila nimecheka sama...mama sabrina na engneer wanavochambana.

Ngoja niongeze siku za kuishi mie
Nikuambie kitu ukitaka kuchekaa na kuongeza siku tafuta nyuzi za forex utacheka mnoo tena baba swalehe hayupo heeee andaa mbavu tu
 
Hizi ni kiki za forex kuitangaza, na kumtangaza Ontario, inaonekana wamemkubali dogo anapiga kaz vizur, acha wamtangaze kwa wabongo
Hizo ndo mbinu za international business
 
Back
Top Bottom