Kawatapeli bana!, hakuna haja ya kumpamba huyu. kausome uzi wa Humble African enzi hizo nae msukule wa JangidHaahhahahaha jamani Ontario hajatapeli watu ila wao tu nadhani ile akili kubwa walioisema si kweli hawakusoma tu vitabu
Nachoshangaa mm humu wana-MMU kuihusisha wana forex wote wa tz na ontario kiasi cha kwamba kila anayedeal na forex hapa basi katepiliwa na ontario.hiyo forex naijua way back Sana before Ontario lakini yeye alivo introduce hapa tulimbishia sana coz alidanganya umma kuwa ni issues simple
Ngoja, ntaenda kumu interview badae.....kumbe sometimes uoga ni silaha nzuri saaaaaaaaana daaaaahJamani nyie watu ahahah haahhahahahahaha mnaniuaaa muulize kisa ninii
Hahahaha pole mkuu ndio maana ameitwa hapa tujui mbichi na mbivu. Mwanzoni akiona threads za malamiko anakuja kwa speed ya 4G. Mie sina chakupoteza hapoKama hii ndiyo point unayoitumia kumuita ontario tapeli nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri.
Mimi naamini tumeonyeshwa tu upande mmoja wa shilingi mnamuamini sana huyo Rea??
Huyu fala nilimsanua mapema nikampa lonja juu ya utapeli wa dogo way back sana huyu fala akaniona mnafiki sitaki maendeleo yake akuishia hapo akaona amepata job full time akaacha na kibarua chake cha uinjinia majalala akakopa milion tano akazama TMT akausake utajiri..Jeff alivyo komando kipensi akamtengenezea na desk la kuwa anatredia pale jangid full time ili azae nae vizuri. Baada ya hapo the rest is history ya maumivu na umaskini. Nilimwambia dogo unakopa million tano unakimbia kazi unaenda kutrade...nilijua itafika kipindi dogo atatambua kwanini IDD Amini aliitwa Dada ilhali ni wakiume.. Ahahaha! Jeff piga umbwa hii. Hii hapa sredi ya ushauri wa mkopo Ushauri: Mimi mwajiriwa serikalini, nataka nichukue mkopo (kwa kutumia ajira yangu) kisha niache kazi
Sasa ana hasira yaani kama Nesi wa wodi ya wazazi... Ahahaha! Dogo tulia haya maisha tu..you lose some you win some.
Mshike mshike ndege tunduni sisi wajanja tulikimbia.
Most of them forex wameijua kupitia Ontario kwahyo haipingiki watu wamepigwa coz walikuwa kwenye njia zake,Nachoshangaa mm humu wana-MMU kuihusisha wana forex wote wa tz na ontario kiasi cha kwamba kila anayedeal na forex hapa basi katepiliwa na ontario.
Kamuulize bana kwanini anaongea peke yakeNgoja, ntaenda kumu interview badae.....kumbe sometimes uoga ni silaha nzuri saaaaaaaaana daaaaah
Baada ya mafunzo wanawekwa kwenye hayo magroup halafu wanakuwa wanapewa mikakati ya kuinvest, sasa hiyo mikakati ndio wizi ulipokuwa unafanyika mfano mnaambiwa soko lipo njema invest mkiweka kinaliwa kumbe mnapoliwa nyie hao mawakala kwao sherehe!!.. Na walikuja mtyt huyo dogo na akakubali.Nimeona bwana. Sasa wao walikua wanafundishwa trading. Ina maana walikua na mkataba nae hata baada ya kumaliza kufundishwa. Sielewii
Ontario keshakuwa star mbona jina linakua nyota inang'aaHizi ni kiki za forex kuitangaza, na kumtangaza Ontario, inaonekana wamemkubali dogo anapiga kaz vizur, acha wamtangaze kwa wabongo
Hizo ndo mbinu za international business
Naomba umseme vizuri Humble wangu usimchokozeeeeeeKawatapeli bana!, hakuna haja ya kumpamba huyu. kausome uzi wa Humble African enzi hizo nae msukule wa Jangid.
Wamepigwa kwenye zile decision za kuinvest hela!. kila hela ilokuwa inaungua alikua na commision yake!.
Eti Forex is not for everyone.. Loh!I love u too Humble
Forex is whaaaaaatttt
HahahahahahahahahahahahahahahaauEti Forex is not for everyone.. Loh!
Ahahaha! We mwanamke unataka kunigombanisha na watapeliwa.
Huyu alishajishtukia mapeeema akaamua jivua uzombie, tatizo akiwahubiria wokovu na mazombie yalobaki yanamuona labda ana chuki nao hivi!.. Humble African hebu attach uzi wako hapa!Naomba umseme vizuri Humble wangu usimchokozeeeeee
Niliuona ule uziHuyu alishajishtukia mapeeema akaamua jivua uzombie, tatizo akiwahubiria wokovu na mazombie yalobaki yanamuona labda ana chuki nao hivi!.. Humble African hebu attach uzi wako hapa!
That's why I love you best..Naomba umseme vizuri Humble wangu usimchokozeeeeee
TMT sio ya Ontario alikuwa tu mwenyeji wa Rea naamini Ontario akija kuna watu watakimbia humu, ukijaribu kukipa kichwa chako zoezi dogo ukaenda kwenye IG page ya Rea utaona kabisa yeye ni Jp Markets partner kwa hiyo hata yeye alipokuja tz alikuja kumtangaza broker.Baada ya mafunzo wanawekwa kwenye hayo magroup halafu wanakuwa wanapewa mikakati ya kuinvest, sasa hiyo mikakati ndio wizi ulipokuwa unafanyika mfano mnaambiwa soko lipo njema invest mkiweka kinaliwa kumbe mnapoliwa nyie hao mawakala kwao sherehe!!.. Na walikuja mtyt huyo dogo na akakubali.
Lakini hili la kuiba hela huyo ONTARIO badala ya kuja tolea ufafanuzi watu wajue mbivu anaemploy kukaa kimya bila tambua ndio kifo cha TMT!.. Ukikaa kimya ni sawa na huna jibu la kutoa wizi umefanyika.
Hahahaa ziko wapi hizo. Nianze mwanzo nijue hii kitu mamaNikuambie kitu ukitaka kuchekaa na kuongeza siku tafuta nyuzi za forex utacheka mnoo tena baba swalehe hayupo heeee andaa mbavu tu