Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,081
1. Mtu wa forex anaweza kuwa na laki 4 bank lakini akatumia laki 1 kupiga picha kali location kali, ni watu ambao wana undugu na photoshoot.
2. Wakinunua magari (gari pendwa mark x) wataweka maandishi ya forex, wengine wanaenda mbali kuweka plate number za milioni 10 kwenye gari zisizozidi milioni 30.