Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Sawa Mkuu umeeleweka taarifa umezitoa vizuri jinsi ya Kumkamata huyo The Bold,Kweli umewakamata Mazwazwa,Endeleeni kuwafanyia huo upuuzi mambwiga,Nimetoa ushauri tu kama Ontario hapatikani mshitakiwa namba mbili aunganishwe kwenye kesi,kama Clients wenu mliowapiga hawataki kuwakamata basi ni kheri kwenu.

CC: LAKI si pesa ona mnavyokejeliwa daaaaa
Hapa ndipo nnapoona Hawa wana forex ni waoga na wanafki wanawatukana wasio husika wakati the bold anakuja kuwakejeli hapa
 
Mbona wamebadilika hivi wamekuwa wakali
Jiwe aliposema hakuna hela ya bure wachape kazi, wakamuona fala wakaenda dhulumu vi millioni 5 wakaona viingi, kuinvest kwenye biashara hatari kama Forex.
Kumbe napo kuna dogo Engineer anaejua tumia fursa akawa vuta kila siku wanapata vilaki wanaona yees baadae kila wakiinvest account inaungua kuja shtuka wamebakiza elfu 5 ya vocha!.
Yani akili yalotumia pale Jangid ya kijinga sana, hata unapotaka fanya shopping unashauriwa kufanya 'window shopping' kwanza kutambua bidhaa unazotaka zinauzwaje sokoni lakini yenyewe yakaona huyo JP Market ndio mungu wao wa kudownlodia pesa pekee!..
 
Unajua unapojadili hakikisha unakuwa na right informations. We unaandika hoja kama vile tmt na ontario unajua kwamba kuna magroup na watu wanafanya forex pasipo kuhusiana na huyo ontario kwa hiyo utasema hao pia wametapeliwa ?
hiyo forex naijua way back Sana before Ontario lakini yeye alivo introduce hapa tulimbishia sana coz alidanganya umma kuwa ni issues simple
 
Huyu fala nilimsanua mapema nikampa lonja juu ya utapeli wa dogo way back sana huyu fala akaniona mnafiki sitaki maendeleo yake akuishia hapo akaona amepata job full time akaacha na kibarua chake cha uinjinia majalala akakopa milion tano akazama TMT akausake utajiri..Jeff alivyo komando kipensi akamtengenezea na desk la kuwa anatredia pale jangid full time ili azae nae vizuri. Baada ya hapo the rest is history ya maumivu na umaskini. Nilimwambia dogo unakopa million tano unakimbia kazi unaenda kutrade...nilijua itafika kipindi dogo atatambua kwanini IDD Amini aliitwa Dada ilhali ni wakiume.. Ahahaha! Jeff piga umbwa hii. Hii hapa sredi ya ushauri wa mkopo Ushauri: Mimi mwajiriwa serikalini, nataka nichukue mkopo (kwa kutumia ajira yangu) kisha niache kazi

Sasa ana hasira yaani kama Nesi wa wodi ya wazazi... Ahahaha! Dogo tulia haya maisha tu..you lose some you win some.

Mshike mshike ndege tunduni sisi wajanja tulikimbia.
Duh Idd Amin aliitwa dada japo mwanaume??
 
Laki si pesa kawa mdogo kama pilitoni itakuwa huko tmt kuna ka uchawi sio bure
Inasikitisha Sana Bwana Mdogo wa Miaka 23 asumbue watu wazima,angenitapeli mimi angeisoma namba Noah Nyeusi au Land Cruiser Nyeupe zingekuwa zimepiga kambi maeneo ya huko kwao Mbezi Beach,ni kukamata tu na kuweka ndani kwa kesi ya "WIZI WA KUAMINIKA" kama watu wa DECI wameshitakiwa itakuwa hao TMT?
 
Naunga mkono hoja... tukikamate kibold tukiweke ndani. Yani nashangaa mpaka muda huu tunakaachaje kawe huru... nashangaa sana.
Alafu nasikia siku hizi kako verified humu kabisa, kameturahisishia kazi ya kumjua.
Alafu mimi navijua hivi vijamaa vinapoishi, hicho kiontario kinakaa pale mbezi beach kwa Mwamunyange na hako kabold na kademu kake kanifah wanakakaa pale mbezi beach masana (sijui vimetoa wapi hela ya kuishi huko wakati juzi juzi tu vilikuwa vinaishi uswekeni). Kesho asubuhi fasta twende oysterbay tuwachukulie arabii.

Nasikia kesho hako kathe bold saa tisa katakuwa pale Mak Books mlimani city, kanataka vitabu vyake viwe vinauzwa pale (vitabu vyenyewe sivipendiiiii hata kama bado havijatoka). Sasa tunakaambush pale pale tunakakamata, tunakapiga makwenzi, tunakaweka selo.

Na hili swala lisiishie hapa jamani... taarifa itumwe interpol, FBI, CIA mpaka MOSSAD. Alafu haka kabold kakikamatwa tuombe kawe extradited kakafungwe Guatanamo Bay kaozee huko huko.

Yani siku nyingi sana sikapendi haka kathe bold... chenyewe kimeingia kwenye kumi na nane zetu. Tutakomeshe aisee
Ndugu kukaa kimya ni vyema na busara sana.
 
Dada yangu hii comment imenifanya Nijue kwamba huijui forex hata chembe .

Mtazamo wako wa forex ni kama ponzi schemes Fulani hivi .

But forex ni real business sifahamu kiwango cha cha elimu ila kama utakuwa umesoma hadi chuo kikuu hasa upande wa biashara na uchumi utakuwa unaelewa tunaongelea nini hapa .

Otherwise sisi tunaoijua tunakuona mweupe kabisa

Mmeamua kugeuza huu Uzi kama sehemu ya kuchamba kuchambalize hahahahaha kuchamba vitu msivyovijua.

Mi namlaumu sana Ontario aisee kachafua image yote ya forex kiasi tunaofanya forex tuonekane tumepotea njia.

Forex ni financila bussiness inahitahi skills za ukweli sio lele mama kama mnavyopeana ubuyu huko vichochoroni.

Ontario njoo utusafishie haya makapi yako tumechoka

Mtuache
Mi siwez kuwaacha mpaka mseme ni vipi mmeibiwa na Ontario. Kwani dolare zenu mlizokua mnaweka kwenye acc zenu zilikua zinaingia kwa Ontario? Na kama kweli mmeibiwa si mfuate utaratibu? Nitaelewa mmeibiwa kama mlimpa pesa zenu awasaidie kutrade ila kama mnatrade wenyewe mmeibiwaje hizo 50M?
 
Hahahaha jamaa alianzia mbali sana zile picha sijui yupo USA anatoa mada za ujasiriamali vijana wakahadaika wakamwona jiwe haswa Hahahaha Forex for real

Kama hii ndiyo point unayoitumia kumuita ontario tapeli nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri.
Mimi naamini tumeonyeshwa tu upande mmoja wa shilingi mnamuamini sana huyo Rea??
 
Inasikitisha Sana Bwana Mdogo wa Miaka 23 asumbue watu wazima,angenitapeli mimi angeisoma namba Noah Nyeusi au Land Cruiser Nyeupe zingekuwa zimepiga kambi maeneo ya huko kwao Mbezi Beach,ni kukamata tu na kuweka ndani kwa kesi ya "WIZI WA KUAMINIKA" kama watu wa DECI wameshitakiwa itakuwa hao TMT?
Haahhahahaha jamani Ontario hajatapeli watu ila wao tu nadhani ile akili kubwa walioisema si kweli hawakusoma tu vitabu
 
JF bana kila tarehe 12 hua naona sio nzur kwa bwana mdogo...
Toka 12 Dec mnamuandama bwana mdogo..
 
Back
Top Bottom