One night stand with JF member

Status
Not open for further replies.
ilikuwaje?

Ilikuwa tofauti, tofauti sana.
Vijana mnataka wenza kila mahali, hata chooni. Kuweni waoga kidogo, mnaweza kuacha kutamani hovyo hovyo.
1 nite stand inaweza kuwa lisence to unknown!
 
Karibu tule date

dates.jpg

Hahahahahah lol! EMT umenichekesha sana! lol!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ilikuwa tofauti, tofauti sana.
Vitana mnataka wenza kila mahali, hata chooni. Kuweni waoga kidogo, mnaweza kuacha kutamani hovyo hovyo.
1 nite stand inaweza kuwa lisence to unknown!

Ina maana jukwaa mahusiano mapenzi na urafiki halikuwepo enzi hizo? Au kama lilikuwepo mlikuwa mnajadili issue gani? Tujuze mkuu.
 
Uki date na mtu unawezaje tena kuwa free kucomment? kuna thread ziko so embarasd kama mko wote mnachangia inakuwa tabu kidogo

hahahah BUJIBUJI bwana mie unanifurahisha na mada zako...i guess mkitokea kufanya hivyo,then mtakuwa mnaoneana haya fulani hivi....hautakuwa huru tena kujiexpress ukijua mwenzio anakusoma michango yako hii inapelekea mie kujiuliza kuna wanandoa humu wanaojuana id zao?:biggrin1:

It might actually spice up your dating.
 
<font face="Book Antiqua"><font size="4">Hahahahah lol! Kama mmenogewa! <img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/smile.png" border="0" alt="" title="Smile" smilieid="307" class="inlineimg" /> si ajabu mkatangaza hata harusi <img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/smile.png" border="0" alt="" title="Smile" smilieid="307" class="inlineimg" /><br />
</font></font>
<br />
<br />
Harusi = Ndoa
 
Mlio experience hii kitu hebu mtujuze, baada ya kupiga tukio hali ikoje?
PM na vikwerombwezo vinaewndelea?

Hii Buji huwa inanoga pale,
ukiipiga na usirudi tena!!!!na mara nyingi huwa haijirudii tena!!!!!
sasa ukipata hamu ya kurudia tena,
inapoteza umaana wake!!!
 
dah mkuu BjBJ, nilikuwa na date na Member mmoja humu na ishu ilikuwa fresh kabisa kazi ilikuwa kwangu tu mzee, lakini katika kuja kucheki huyo shori alikuwa amenipiga gap ya miaka kama 6, mpango mzinma ukawa umeishia kaburini, nimechangia thread kwa kua imenifanya nifurahi ingawa nimetoka nje
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ina maana jukwaa mahusiano mapenzi na urafiki halikuwepo enzi hizo? Au kama lilikuwepo mlikuwa mnajadili issue gani? Tujuze mkuu.
Mkuu, hahahaaa!
Nitakujuza. Kama upo dar hebu nipe buzz onetime nikukutanishe na mdau muhimu akupe under the carpet fliflip.
Buji muhuni huyu! Hakuna one nite wala nini.
Umesoma?
 
I can understand your curiosity... ni kua walikutana na kukutana JF, but one nite stand wakikutana kitaa wakatamaniana na kuridhishana then aftermath ikawa issue, nilitolea mfano coz niliambia na muhusika,, hivyo nilikua nakutoa doubts kua kweli wapo. Bahati mbaya hawa iliwatokea hivi ila naamini wapo ambao walifurahia ndo mpaka they are thinking of doing it again, mana haiwezekani zote zikawa failure...
Ooooh so one nite stand inataka kuwa two nt stand, kuna watu hawatestiwi jamani utanasa tu
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
dah mkuu BjBJ, nilikuwa na date na Member mmoja humu na ishu ilikuwa fresh kabisa kazi ilikuwa kwangu tu mzee, lakini katika kuja kucheki huyo shori alikuwa amenipiga gap ya miaka kama 6, mpango mzinma ukawa umeishia kaburini, nimechangia thread kwa kua imenifanya nifurahi ingawa nimetoka nje
Mkuu! Hivi pale tiptop panafaa ukiwa nyagi ya sita? Ndogo ofcoz.
Halafu nasikia unataka kupitia one of the scandinavian countries on your way to german ni kweli mjomba? Hahahaaa!
 
dah mkuu BjBJ, nilikuwa na date na Member mmoja humu na ishu ilikuwa fresh kabisa kazi ilikuwa kwangu tu mzee, lakini katika kuja kucheki huyo shori alikuwa amenipiga gap ya miaka kama 6, mpango mzinma ukawa umeishia kaburini, nimechangia thread kwa kua imenifanya nifurahi ingawa nimetoka nje

Hizi one nite stand,
siku moja mwaweza kutana na majini mahaba vijana!!!!!!!!!!!
 
Ooooh so one nite stand inataka kuwa two nt stand, kuna watu hawatestiwi jamani utanasa tu

Nakubaliana nawewe kabisa... kunasa ni rahisi saana hasa the experience ikiwa great!

I guess it was all good!

According to the ushuhuda... in this case it was NOT....lol... i guess hawakua compactible...
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom