One night stand with JF member

Status
Not open for further replies.
Mkuu, hahahaaa!
Nitakujuza. Kama upo dar hebu nipe buzz onetime nikukutanishe na mdau muhimu akupe under the carpet fliflip.
Buji muhuni huyu! Hakuna one nite wala nini.
Umesoma?

Nimekusoma mkuu. Bujibuji juzi tuu alikuwa analalamika mkewe hataki awe anachungulia JF. Kama akitaka kupost inambidi eti aingie toilet. Sijui mkewe ana wasiwasi jamaa anatafuta "one night stand with jf member"? Au labda walikutana humu, wakafanya one night stand, matokeo yake ikawa permanent stand, so wife ana wasiwasi jamaa anatafuta another one night stand halafu aifanye kuwa permanent stand. JF tambarare.
 
dah mkuu BjBJ, nilikuwa na date na Member mmoja humu na ishu ilikuwa fresh kabisa kazi ilikuwa kwangu tu mzee, lakini katika kuja kucheki huyo shori alikuwa amenipiga gap ya miaka kama 6, mpango mzinma ukawa umeishia kaburini, nimechangia thread kwa kua imenifanya nifurahi ingawa nimetoka nje

We siumejiunga juzi wewe???‘
 
  • Thanks
Reactions: EMT

Last edited by a moderator:
Nakubaliana nawewe kabisa... kunasa ni rahisi saana hasa the experience ikiwa great!

According to the ushuhuda... in this case it was NOT....lol... i guess hawakua compactible...
Hahaha! Hapa ndo nakua sielewi, hivi experience na compatibility vinakutania wapi? Nataka kujua hiyo junction!
 
Nimekusoma mkuu. Bujibuji juzi tuu alikuwa analalamika mkewe hataki awe anachungulia JF. Kama akitaka kupost inambidi eti aingie toilet. Sijui mkewe ana wasiwasi jamaa anatafuta "one night stand with jf member"? Au labda walikutana humu, wakafanya one night stand, matokeo yake ikawa permanent stand, so wife ana wasiwasi jamaa anatafuta another one night stand halafu aifanye kuwa permanent stand. JF tambarare.

EMT kitu ambacho mimi personally naamini ni kua ukishapata mchumba the mwenza via JF, lazima upigwe STOP za electronic networking zoote... and naona ni understandable...
 
Msichanganye mambo, love can happen anytime, anywhere, anyhow and to anybody! So Jf members are not exceptional...no matter what, life should go on as normal!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nimekusoma mkuu. Bujibuji juzi tuu alikuwa analalamika mkewe hataki awe anachungulia JF. Kama akitaka kupost inambidi eti aingie toilet. Sijui mkewe ana wasiwasi jamaa anatafuta "one night stand with jf member"? Au labda walikutana humu, wakafanya one night stand, matokeo yake ikawa permanent stand, so wife ana wasiwasi jamaa anatafuta another one night stand halafu aifanye kuwa permanent stand. JF tambarare.
Umeona eeeeee
 
Msichanganye mambo, love can happen anytime, anywhere, anyhow and to anybody! So Jf members are not exceptional...no matter what, life should go on as normal!
Humu wanadanganyana tu, ndio maana wanataka one nite stand wakinasa wanarudi kulalamika humu
 
Hahaha! Hapa ndo nakua sielewi, hivi experience na compatibility vinakutania wapi? Nataka kujua hiyo junction!

Kuna watu Bigirita mko so comaptable kiasi kwamba the make na lugha iko sawa sawa hata experience zako sio necessary na woote mnafurahia to the maximum... mnapokua tofauti katika lugha ya hilo tendo na the make hapo experience inabidi ichukue mkondo wake...
 
Umeona eeeeee

Nimeona, kwa hiyo usishangae siku moja Bujibiji anaku-PM from his toiltet for a date which might lead to a "one night stand". Inawezekana ameanzisha hii sredi apime hali ya hewa kwanza.
 
Partner embu toka hapo nje tuongee...nimesimama hapa barazani!
 
Kuna watu Bigirita mko so comaptable kiasi kwamba the make na lugha iko sawa sawa hata experience zako sio necessary na woote mnafurahia to the maximum... mnapokua tofauti katika lugha ya hilo tendo na the make hapo experience inabidi ichukue mkondo wake...

Asha D umenikumbusha yule mdau aliyenzisha sredi akitaka kujua kama mtu unaweza kuwa attracted na mdau mwingine kwa maandishi yake tuu, i.e kusoma posts zake. Mwingine akasema hata avatar inaweza ku-shed some lights.
 
Nimekusoma mkuu. Bujibuji juzi tuu alikuwa analalamika mkewe hataki awe anachungulia JF. Kama akitaka kupost inambidi eti aingie toilet. Sijui mkewe ana wasiwasi jamaa anatafuta "one night stand with jf member"? Au labda walikutana humu, wakafanya one night stand, matokeo yake ikawa permanent stand, so wife ana wasiwasi jamaa anatafuta another one night stand halafu aifanye kuwa permanent stand. JF tambarare.

Hapa mkuu ukweli ni 99%!!
 
Nimeona, kwa hiyo usishangae siku moja Bujibiji anaku-PM from his toiltet for a date which might lead to a "one night stand". Inawezekana ameanzisha hii sredi apime hali ya hewa kwanza.
Nitamkomesha kwenye hiyo nite stand ili apunguze wingi wa thread, si baada ya night stand atapotea kidogo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom