One night stand with JF member

Status
Not open for further replies.
Shemeji Buji bwana ......sio kuwa inategemea na ladha ya mchezo ilivyokuwa? Kama mechi ilikuwa kali basi ni wazi PM's na vikorombwezo vitaendelea kwa sababu lazima umaintain contact bwana siku nyingine wawezatamani tena hahahhah but kama uliuza mechi basi lazima upotezewe........................... loh
 
hua hakuna one night stand wewee, labda kwa bitch.
lakini ile ya kibestbest, mtajiafanya ni one night stand ila siku zikikubana unamtafuta mwenzio.
sematu labda inakua hakuna komitment na intimacy to each other.
 
vinaendelea kama kila mmoja karidhika na mwenzie! Buji leo vipi mkuu?jana umelalaje maana hizi thread c mchezo
 
vinaendelea kama kila mmoja karidhika na mwenzie! Buji leo vipi mkuu?jana umelalaje maana hizi thread c mchezo

alikuwa na hiyo stand akitaraji itakuwa one nite ila sasa anatafakuri atajitoaje manake inogile:biggrin1:
 
ha ha ha he he kweli Bujibuji nilikuwa sitaki kucheka lakini nimejikuta naangua mbavu...te te te ...
 
kwe, kwe, kwe!
Bujibuji huishiwi vituko wewe?
Jaribu hyo 1 night stand then utapata majibu...lol.
 
alikuwa na hiyo stand akitaraji itakuwa one nite ila sasa anatafakuri atajitoaje manake inogile:biggrin1:

mkuu hata mimi nimemshtukia na hizi thread zake za leo,kama amekuta inalipa afanye long last stand teh teh teh
 
Mlio experience hii kitu hebu mtujuze, baada ya kupiga tukio hali ikoje?
PM na vikwerombwezo vinaewndelea?



BjBj experience naamini hua tofauti hivyo na outcome tofauti... kama it was a great one nite stand i guarantee hizo PM ndo kabisaaa... ikiwa tofauti unakwepa hata kuchangi post ambayo kapita mwenzio....lol
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom