Mnakataa Ndoa kuhalalisha Uzinzi

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Kumekuwa na Wimbi kubwa aina ya Tsunami ambalo limekuwa likijinadi kuhusu kukataa Ndoa, likitoa sababu mbalimbali za kujitetea.

Lakini mtu anayekataa Ndoa anakabili vipi hisia zake. Binadamu tumeumbwa na Sexual Desire (Matamanio ya kufanya ngono) for pleasure, yani kwa ajili ya kujiburudisha. Na hali hii ya matamanio ya ngono umkumba kila mtu, mpaka wazee.

Kukataa Ndoa maana yake, unakuwa mtu huru, ukiwa mtu huru na ukapatwa na sexual desire, matamanio ya kufanya Ngono maana yake unayaondoa vipi hayo matamanio...

Njia ambazo hutumika kuondoa sexual desire Moja ni kujichua na nyingine ni kufanya mapenzi na watu tofauti tofauti, kama ni mwanaume atakuwa anatafuta wadada wa one night stand (Penzi la usiku mmoja) mfano malaya au wanawake watakao kuwa rahisi. Na kama ni Mwanamke basi atajirahishisha kwa mwanaume hili aweze kukizi haja zake.

Na wanawake aina hii wengi wanatumia neno "Kudanga" kama kichaka cha kuondoa hamu ya tendo la ndoa, na wengi wao uchepuka na waume za watu, huku wakijificha kwenye kivuli cha Single Mother.

Maana yake ni kwamba watu wanaokataa Ndoa ni watu wanaofanya uzinzi hili kukizi matamanio yao ya mwili.

Kubali Ndoa kataa Uzinzi.
 
Hao wanaokataa ndoa wana hoja maridhawa, nimewahi kuwasikia mapastari wawili kwa nyakati tofauti wakiponda kuoa.

Wanasema ni matatizo matupu, kupigana, mizozo, mara unununiwe, mara unyimwe unyumba halafu anapewa mwingine kwa raha zote huko nje, ni ngumi kwa kwenda mbele, taabu tupu. Wanaonya kama utaweza kukabiliana na changamoto za ndoa oa tu, kama vipi jitafakari sana.

Pastari mwingine alisema kama miaka inarudi nyuma awe kijana hana hamu ya kuoa hataki kuombwa hela kila siku. Ndoa nzuri pale unapohitaji huduma ya penzi tu. Penzi la kwenye ndoa halina gharama unapata muda wowote ukitaka.

Mapenzi yamekuwa ghali sana siku hizi huwezi kupata penzi la bure kwa mwanamke asiye mke wako. Waliowahi kuingia kwenye ndoa zikavunjika wana hoja za kukataa ndoa wasipuuzwe
 
Hao wanaokataa ndoa wana hoja maridhawa, nimewahi kuwasikia mapastari wawili kwa nyakati tofauti wakiponda kuoa. Wanasema ni matatizo matupu, kupigana, mizozo, mara unununiwe, mara unyimwe unyumba halafu anapewa mwingine kwa raha zote huko nje, ni ngumi kwa kwenda mbele, taabu tupu. Wanaonya kama utaweza kukabiliana na changamoto za ndoa oa tu, kama vipi jitafakari sana. Pastari mwingine alisema kama miaka inarudi nyuma awe kijana hana hamu ya kuoa hataki kuombwa hela kila siku. Ndoa nzuri pale unapohitaji huduma ya penzi tu. Penzi la kwenye ndoa halina gharama unapata muda wowote ukitaka. Mapenzi yamekuwa ghali sana siku hizi huwezi kupata penzi la bure kwa mwanamke asiye mke wako. Waliowahi kuingia kwenye ndoa zikavunjika wana hoja za kukataa ndoa wasipuuzwe
Sababu ya kuoa ndo uamua ndoa itadumu kwa muda gani au itakutesa kwa muda gani.

Tatizo ni kuoa ovyo bila kujua kwanini unaoa. Kama huyo padri sababu yake kuu ni ngono, sasa utaifanya hiyo ngono masaa 3 kwa siku then masaa mengine mtafanya nini? Hakupaswa kufunga ndoa bila kujua jibu la hilo swali.

Unaoa ili nini? Mwenzako anajua kwanini unamuoa?

Kwanini unaoa/kuolewa?
1. Kupata uraia.
2. Kulea watoto katika mwavuli mmoja.
3. Kukuza uchumi.
4. Kujilinda na magonjwa.
5. Maagizo ya dini.
6. Heshima katika jamii
7. Nafasi ya kisiasa
8.Fursa za ajira
9.Ngono
10. Hisia za mapenzi tu
11. Kubadili hali ya umasikini ya ulikotoka.

Sababu ni nyingi, Lazima muelewane sababu zenu za kuamua kuoana na hiyo sababu ikishatimia ni nini kinafuata.
 
Hivi mtu asipotaka kuoa kunakuwa na tatizo ?
 
Hao wanaokataa ndoa wana hoja maridhawa, nimewahi kuwasikia mapastari wawili kwa nyakati tofauti wakiponda kuoa.

Wanasema ni matatizo matupu, kupigana, mizozo, mara unununiwe, mara unyimwe unyumba halafu anapewa mwingine kwa raha zote huko nje, ni ngumi kwa kwenda mbele, taabu tupu. Wanaonya kama utaweza kukabiliana na changamoto za ndoa oa tu, kama vipi jitafakari sana.

Pastari mwingine alisema kama miaka inarudi nyuma awe kijana hana hamu ya kuoa hataki kuombwa hela kila siku. Ndoa nzuri pale unapohitaji huduma ya penzi tu. Penzi la kwenye ndoa halina gharama unapata muda wowote ukitaka.

Mapenzi yamekuwa ghali sana siku hizi huwezi kupata penzi la bure kwa mwanamke asiye mke wako. Waliowahi kuingia kwenye ndoa zikavunjika wana hoja za kukataa ndoa wasipuuzwe
Noma sana!
 
255765261957_status_b88c9583a4b84d57a454722ca55759f6.jpg
 
Maana yake ni kwamba watu wanaokataa Ndoa ni watu wanaofanya uzinzi hili kukizi matamanio yao ya mwili.
Mkuu NDOA ingekuwa tamu kama inavyopigiwa Promo, basi hakuna ambaye angemshauri mwenzake AOE.

Msosi wa kushiba huwa unaonekana tu hata ukiwa kwenye sahani, sio lazima ule ndio ujue utashiba.

NDOA ina misingi, kanuni, utaratibu na sheria zake, ukiona mtu anakataa NDOA basi ujue hajatimiza au hayuko tayari kufuata hio misingi na hizo Sheria.

Learn.
 
Mkuu NDOA ingekuwa tamu kama inavyopigiwa Promo, basi hakuna ambaye angemshauri mwenzake AOE.

Msosi wa kushiba huwa unaonekana tu hata ukiwa kwenye sahani, sio lazima ule ndio ujue utashiba.

NDOA ina misingi na sheria zake, ukiona mtu anakataa basi ujue hajatimiza au hayuko tayari kufuata hio misingi na hizo Sheria.

Learn.
Umeongea vyema kabisa...

Huo umasikini, Ukilema, au kufa vinaweza kukupata hata ukiwa nje ya Ndoa....

Muda mwingine tamaa za uzinzi zikikuandama uwezi kuipenda ndoa... Maana ndoa inakunyima uhuru wa kufanya uzinzi. Yeyote anayepinga ndoa ni Mzinzi ana wanawake wengi au wanaume wengi anaona akioa au kuolewa basi hatakosa uhuru wa kuwa nao...

Ndoa ni mpango wa Mungu wa kutunza watoto, watoto wakilelewa kwenye ndoa wengi wao uwa na maadili, pia ndoa utengeneza jamii bora... Lakini jamii iliyotengenezwa na watu wasiokuwa kwenye Ndoa ni jamii inayojaa maovu, watoto uwa na wengi wao uwa na maadili mabovu
 
Back
Top Bottom