One month from today...

Hahahaa nimesoma hoo sredi mecheka.sana duuh

Hommie Asprin popote ulipo nina biya zako nne. Maana tukiwambia watu tumeanzia mbali hawaelewi. Ona sasa Mamndenyi anashangaa mambo ya Ponsio Pilato...hivi alikuwa anatumia jina gani?
Umeona eh? HIzo biya waweza nitumia kielektroniki via M-Pesa au mpaka zije Live?

Mkifika huko msitupigie kelele tafadhali...
Hommie, mimi na obsesd hatujakutana barabarani..... Mutuwache tupumue...

Obsesd my love, kam zis wei bebiiiiiii:welcome::welcome:
 
Last edited by a moderator:
Umeona eh? HIzo biya waweza nitumia kielektroniki via M-Pesa au mpaka zije Live?

Hommie, mimi na obsesd hatujakutana barabarani..... Mutuwache tupumue...

Obsesd my love, kam zis wei bebiiiiiii:welcome::welcome:

kaizer me na huu mgodi hatujakutana kwa lift za ppf tower pseee.......... na mtuache tulaleeee.

afu mbona niko uku sikuoni babez jaman!!!

then kwa mwezi huu naomba ustopishe ukaguzi bs psee.
 
Ngoja kwanza nikuwozap, naona hapa unanfanyia longolongo....
 
afu seriously sijaona pm jaman!!!

kuniwozap........ check kitu cha last seen hapo mbabez....... nimehama now!

lemme pm u my new no.

Fanya chap chap sana, kabla sijabadili mawazo

Hizo kopi za wozap ntaomba zinifikie chap chap sana.......maana naona kweli hamjakutana bara barani ila hamjasajiliwa ligi daraja la tatu!
 
lolest! kaizer karibu ukuuu.
si twaendelea tuuu.
 
Back
Top Bottom