One month from today...

Hongera sasa dear Shishi.we'll miss you a lot!
Btw,Nakumbuka wakati najiunga na jf ulikuwa unaexpect twins! ningependa kujua kama hawajambo!(sore kama ni ofutopik)[/QUOTE]

thnks swty...i think you are mistaken...ila i dont mind the twins!!! sio mimi!
 
Hongera Shishi, na nakuombea kwa Mola akunyooshee mambo yako, na pia muwe na mwenza wako katika amani mpaka siku. Sijui nikujulishe Mke wangu akupe ujuzi wa kuishi na hii "species", mwanaume.


Thanks alot.....bwana we naona unijulishe kwa memsab nipate 411
 
Hello dear JF, great thinkers.

One month from today on the 10th April 2010.... I will officially quit the seasoned spinister's club. I have been the chairperson far too long, Club its time to let me go!!!
Sasa kitchen party sijui tuifanyie wapi??? any suggestions?? Online kitcehn party??

Anyways I just thought I should let you guys know.

Cheers!!

Hongera sana mdogo wangu. Nakutakia kila la heri kwenye ndoa yako. Upate kufurahia maisha kama tunavyotesa sisi; na usipate taabu kama yule shoga yake FL1. Inshallah, tutakuombea mambo yake yaende poa!!

Kwa nini usije na kitu kipya kabisa (ukatoka kivyako vyako), kwa kafanya Bedroom party, ili wote tuhudhurie (sisi na ninyi) na kukupa tips. KPs are biased ila BP itakuwa balanced kwakni utapata pande zote mbili za shilingi. Unaonaje?:rolleyes:
 
Back
Top Bottom