Exformer
JF-Expert Member
- Nov 12, 2018
- 838
- 953
Mpka unacomment hapa ina maana umeshausoma huu uzi sasa yote yapo humoHabari,
Wakuu naomba anauejua umujimu wa chumvi ya mawe kwenye kujikinga na mambo ya ushirikina.
Mpka unacomment hapa ina maana umeshausoma huu uzi sasa yote yapo humoHabari,
Wakuu naomba anauejua umujimu wa chumvi ya mawe kwenye kujikinga na mambo ya ushirikina.
Wanywa pombe wengi wana roho nzuri sana
Ktk biblia nadhani ni Isaya sijui ni ipi lkn huo mstari au ipoTupe andiko wapi chumvi ilitumika kuondoa mikosi kwenye vitabu vyote then tutakuja kuchangia mada yalo
Nadhani nadhani nilidhani hata duniani haya maneno mahakamani hayapo jeshini pia hayapoKtk biblia nadhani ni Isaya sijui ni ipi lkn huo mstari au ipo
HahahahahahaNadhani nadhani nilidhani hata duniani haya maneno mahakamani hayapo jeshini pia hayapo
Sema Kwa mtaani yapo
Hebu soma 2wafalme 2 :19 :22 ,uone inasemajeNadhani nadhani nilidhani hata duniani haya maneno mahakamani hayapo jeshini pia hayapo
Sema Kwa mtaani yapo
Nilijua una akili kumbe hovyo tu, zoezi dogo umefeli ,mitoto ya siku hz banaNadhani nadhani nilidhani hata duniani haya maneno mahakamani hayapo jeshini pia hayapo
Sema Kwa mtaani yapo
Ulinunua chumvi ipi mkuu?Usijaribu...this shit nearly killed me.
😂wadada mmeongezewa kitu cha kuwweka kwenye pochi zenu "mkaa"
mimi huwa naweka chumvi nyingi nachota viganja viwili yani nikioga mpaka naifeel kabisa😅😅😅Naomba kujua maji yanakuwa kiasi gani na chumvi unaweka kiasi gani
Umepata matokeo ganiChumvi ya mawe nimemtumia kuogea siyo mchezo.