Ona hii Haya Ndio Maandalizi ya Kummaliza Ruge Tarehe 26/11/2011

Dmx haji kwenye huo upuzi wa ruge kwenye wall kasema hama ratiba africa mpaka mwakani
vinega 4 life
 
nimshennzi tuu.....hajui ufupisho/summary? nimmoja yawanaotumiwa na ruge. nimcameroon huyo......

Uhuru wa kuongea uko wapi jamani? mimi nimetoa maoni kulingana na ufahamu wangu, sasa matusi ya nini jamani? VIRUS ni maambukizi , VINEGAR ndio dawa yake. sasa kipi kisichoeleweka hapo? jibu hoja kwa hoja sio matusi. tuwe wastaarabu jamani, halafu mwingine ananiita mtoto wa mama!!! kwani wewe ni mtoto wa Nguruwe???
 
Kwenye hii tread kuna kitu nimejifunza. Watanzania ni watu wa ajabu, inaweza ikawa mtu fulani ni mwizi, gaidi, na mwenye kila aina ya uchafu wa dhahiri kabisa, lakini ndani ya jamii hiihii akawa na watu wanaompenda na kumuunga mkono kwa vitendo vyake hivyo.

Mathalani ugomvi wa Sugu na Ruge uko wazi kabisa, kwamba Ruge anawakandamiza wasanii na pia aliingilia mradi wa malaria ambao kimsingi ulikuwa ni mkono wa Sugu, lakini bado tunaona watu hapa wanaunga mkono. Sasa mimi nashindwa kuelewa, watu hawa ni kwamba hawajui chanzo cha ugomvi huu, au hawaoni kama ni sababu ya msingi?

Kwa uvivu huu wa kuelewa mambo tutaendelea kuliwa Kodi zetu na mafisadi mpaka sote tunaingia kaburini Ruge ni Fisadi tu mwenye akili analiona hili lakini zuzu litachekacheka tu! Ovyoo!!
 
Na ugomvi wote aliokuwa nao Afande sele na clauds kwa ujumla eti nae karamba matapishi!!!hii ni aibu sana!!
 
hivi maana ya vinega ni nini....naomba mnieleweshe wajameni......

Mrembo naona umechanganywa tu:
Kwa kifupi vinega ni siki au ni maji yenye ladha kama ya ndimu hutumika kuulia vijidudu vya magonjwa kwenye mboga mboga!
 
Sasa chukua idea ya Mh.Sugu kutoa hiyo album inayoitwa antvirus ki ukweli ni rahisi kutambua anamaana gani!! vinega inauuwa vijidudu katika mboga mboga a ant virus inawauwa trojons katika computere basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!
 
RUGE ni fisadi wa muziki..hana tofauti na Rostam na Lowasa,labda kinachowatofautisha ni sekta wanazoibia.
 
wakuu any update kwa sisi tulioko huku Mugumu plssssssssssssss
A%20S%20embarassed.gif
 
Uhuru wa kuongea uko wapi jamani? mimi nimetoa maoni kulingana na ufahamu wangu, sasa matusi ya nini jamani? VIRUS ni maambukizi , VINEGAR ndio dawa yake. sasa kipi kisichoeleweka hapo? jibu hoja kwa hoja sio matusi. tuwe wastaarabu jamani, halafu mwingine ananiita mtoto wa mama!!! kwani wewe ni mtoto wa Nguruwe???

na yeye katukana!!
 
Kwa uvivu huu wa kuelewa mambo tutaendelea kuliwa Kodi zetu na mafisadi mpaka sote tunaingia kaburini Ruge ni Fisadi tu mwenye akili analiona hili lakini zuzu litachekacheka tu! Ovyoo!!

Tena ni lijizi kabisa senzi zake alaaa.
 
Back
Top Bottom