Ona hii Haya Ndio Maandalizi ya Kummaliza Ruge Tarehe 26/11/2011

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
a38c7578d9cfebce.jpg
 
aisee natamni nikurupuke dom leo nije huko dar kesho kuenjoy ma antivirus, mweeeee! mbona mwafaidi peke yenuuuuuuuuuuuu!
 
Ruge anatumia muda mwingi sana kuwapa airtime wasanii kwasasa akiwemo kalapina (kikosi cha mizinga) aili wamponde sugu,kalapina anasema yeye ndio muhasisi wa hip hop tanzania na sio sugu.Hadi sasa tayari watu 41,000 washakata tiketi kwa ajili ya show ya sugu.
 
kama ni kweli basi panahitajika tahadhari ya hali ya juu sana, sipati picha ya hiyo idadi na ukubwa wa eneo lenyewe. usalama hapo ni utata kwa kweli!
 
Ruge anatumia muda mwingi sana kuwapa airtime wasanii kwasasa akiwemo kalapina (kikosi cha mizinga) aili wamponde sugu,kalapina anasema yeye ndio muhasisi wa hip hop tanzania na sio sugu.Hadi sasa tayari watu 41,000 washakata tiketi kwa ajili ya show ya sugu.

tiketi zinapatikana wapi hapa dar? mia
 
huyo ndo sugu stage ina uzito wa tan 180 imecost mil 50 na kwa mara ya kwanza clouds wanatembea na gari ya PA mitaani kuhamasisha watu tho tiketi zao hazitoki pamoja na kuhaidi watu 200 wa kwanza wataingia bure lool waliopewa tiket za complimentary wanaziuza wapate buku 5 za kuwaona vinega rugeeeee ujakoma mswaki ulipogwa mbeya hadi wasanii wengine hukuwalipa na ikitoka dar ni mikoa yote tz na world wide
 
Halafu nyepesinyepesi Sugu kampati ticket ya complimentry muheshimiwa Abbasi Kandoro naye atakuwepo! Aisee hapatatosha!
 
Back
Top Bottom