Ona hii Haya Ndio Maandalizi ya Kummaliza Ruge Tarehe 26/11/2011

Sugu moto chini,muasisi pekee wa hiphop bongo,welldone sugu,mheshimiwa mbunge
 
Kamanda eeeh! hapo Al Shabaab vipi? Au wanakuja kwenye maandamano tu?

Achana na huyo kamanda wako uchwala na intelijensia yake feki.
Hao Alshaabab waende LEADERS labda.
Huu mziki uliofungwa hapa ningependekeza Spika moja ikakae LEADERS ipambane na zile mchina za pale zinazokoroma koroma kama vile radio imekosa network!!
 
Hata mfunge stage ya aina gani, hayo matusi yenu hayauziki. Mtawapata wahuni wenzenu.
 
CLOUDZ FM WAMETHUBUTU, WAMEWEZA NA WANASONGA MBELE KUUA SANAA YA BONGO! Jiunge na mavinega tuscan mavirus na wanafiki CLOUDZ!

LONG LIVE SANAAAA! SHORT LIVE CLOUDZ!
 
kama ni kweli basi panahitajika tahadhari ya hali ya juu sana, sipati picha ya hiyo idadi na ukubwa wa eneo lenyewe. usalama hapo ni utata kwa kweli!

Kiingilio shingi ngapi jamani?saivi ni mapinduzi kote kote,yakimziki na yakisiasa
 
Mimi na demu wangu tutaenda kwa sugu.
....haya nenda

386602_279288618777102_207856559253642_781793_730638132_n.jpg
 
show inapigwa viwanja gani? Kuanzia muda gani?

Viwanja vya Ustawi wa jamii(Bamaga)

kesho nakwenda kwenye Tamasha la watu walioniburudisha ningali kijana mdogo damu moto miaka ya 90
vile vile kutoa support kwa vyandani huku tuki-raise awarerness ya kupinga unyonyaji
 
Back
Top Bottom