On bed kuna wanaume wa aina nne

HUyo namba 1 lazima atakuzeesha haraka na kukufanya upungue lol, unless um regulate
namba 2 is an OK guy
namba 3 mmhh inahitaji msaada wa Mungu kuvumilia khaa
No 4 NO man for me!!!
 
Naturally, kuna wanaume wa aina nne kutegemea na uwezo wao kingono:

1.Kundi la kwanza ni wale ambao wana uwezo mkubwa wa tendo la ndoa, yaani kwao erection is not an issue at all. Ukiolewa na mwanaume wa jinsi hii, jishike kweli kweli maana ni mwendo mdundo. Wanapenda mchezo kila siku, kila wakati hadi sometimes mwanamke anaona kero!

2. Kundi la pili ni la wale wenye uwezo wa wastani. Hawa wanaweza kuvumilia hata kama mtapanga ratiba yenu ya mchezo wenyewe.

3. Kundi la tatu ni la wale wenye uwezo mdogo wa kufanya tendo la ndoa. Hawa wanapata erection ya kuvizia. Wakati mwingine inabidi mwanamke afanyekazi ya ziada ili mzee asimame. Wanaume wengi wa kidhungu wako ktk kundi hili, nadhani wale mliowahi au mpo kwenye mahusiano na wanaume wa kidhungu mtakuwa mashahidi.

4. Kuna la nne ni la wale wasio na uwezo kabisa, yaani si riziki, nadhani wanaeleweka hivyo sina maelezo marefu kuhusu kundi hili.

Ushauri: ni muhimu kumjua mpenzi/mumeo yuko ktk kundi gani ili ujue namna ya kuishi naye vizuri kingono! Hii itasaidia kuepusha lawama na malalamiko ambayo yanatokana na nature.

Samahani kama ni marudio!

Sasa kuna sisi wengine huwa kwenye hizo namba zako tunacheza namba 1,2,3 kulingana na ni mwanamke yupi unabed naye coz hawa watu wanatofautiana sana kwenye haya maswala, kuna mwanamke anaweza kukuvutia sana ila mkifika kwenye mchezo' ndiyo balaa linaanzia hapo. So ina depend na the way mwanamke alivyo coz kuna wengne ukimit nao hutaman ku...,
 
mito
wanaume bana sijui wakoje but thanks sana kwamba GY yeye ni namba 1. na
kwakua mm niko wa stail hizo basi tabu sipati hata kidogo.

kwetu mchezo wa matusi lazima uchezwe masaa 4 hadi 5 kwa siku moja.
inaitwa super excellent! angalizo dont try this kama siyo mtu wa
aerobics

duuh! masaa nane kwa siku? na kwa wiki mara ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo criterion zilizo tumika hapa ni ability to create and sustain an erection, sio?

Ila kuna categorization inayo tegemea uwezo wa kukaa for long before ejaculation, kuna ambao unategemea ujuzi wa preliminaries, mngine wa ability to 'deliver' in different positions, ingine ya ukubwa/udogo wa uume ( Boflo alianza hii leo jukwaa la wakubwa), kuna inayo tgemea creativity and innovation skills (hapa ndio wale wa Kongosho na Preta wanakuja) etc.

I think that the best researches ni zile zinazo combine two or more of these criterion. sasa itakua hujwawatendea haki wanaume if you reduce them to just 4 categories, each of them has his own level of 'performance' based on a combination of many criterion and his sexual partner preferences.

For you Roulette which works best......stamina, technique, or selfishness in your man? Do not hide yourself behind .......ulichosikia...............am really frazzled by "
hearsays".......Am looking for practical experience from you........funguka.........lol
 
Last edited by a moderator:
Aii Kaizer, ninae bwana la'aziz kipande cha mzizi wangu!! tena ujiandae kutambulishwa. mpenzi wangu huyu ni rijari, nguvu asili hamna madiko diko..he he

BelindaJacob hongera sana maana naona hizo mvua zimekunyeshea vilivyo.......si rahisi kumwaga mijisifa kibao kama bado......
 
Last edited by a moderator:
Sasa kuna sisi wengine huwa kwenye hizo namba zako tunacheza namba 1,2,3 kulingana na ni mwanamke yupi unabed naye coz hawa watu wanatofautiana sana kwenye haya maswala, kuna mwanamke anaweza kukuvutia sana ila mkifika kwenye mchezo' ndiyo balaa linaanzia hapo. So ina depend na the way mwanamke alivyo coz kuna wengne ukimit nao hutaman ku...,

Mkuu haya makundi yanazingatia ule usemi kwamba if other factors remain constant. Yaani uko na anayekuvutia, mambo ya bed anayajua, huna stress n.k, pia uko natural yaani hupigi kunyeto, hujanywa konyagi, wala hutumii madawa ya kuongeza nguvu za kiume
 
For you Roulette which works best......stamina, technique, or selfishness in your man? Do not hide yourself behind .......ulichosikia...............am really frazzled by "
hearsays".......Am looking for practical experience from you........funguka.........lol
Excuse me??? let's pretend you never wrote that!:suspicious:
 
mito, ina maana kundi la nne hata hizi dawa zetu sa asili za kuongeza nguvu za kiume kama MZAKARU, ZOKA, FARU, MKUYATI, DUME, SHOKA, KAMANYOLA, KAMCHAPE na kadhalika, zote hazifui dafu kweli?

hapo wapo wa aina mbili,kuna wale waliozaliwa na tatizo hilo na wale waliolipatia ukubwani. Kwa wale waliozaliwa nalo,hakuna tiba ya kuwasaidia,lakini kwa wale waliopata tatizo ukubwani dawa kama hizo ulizotaja zinaweza kuwaokoa.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo mtoa mada unatushauri tuwe tunajaribishana kwanza kabla ya kuona ili kupimana nguvu na kuona kama tuko-compatible to each other? Maana ukioa/olewa na mtu ambaye hujui mapigo yake si ndo inakuwa mwanzao wa kizazaa kwenye ndoa.

Exactly mkuu, ila pia itakusaidia kujua tatizo lake na hivyo kumvumilia na kumsaidia zaidi ktk mchezo wenyewe. Otherwise, utaishia kumlaumu na hapo utakuwa ndo unamfanya asijiamini kabisa!!!
 
Sasa mwanamke yuko kama kabati na nyuma ukimuona kama ironing board,sasa hapo mimi erection itatoka wapi?????????????????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom