Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Ombi langu kwenu.
Mnaonaje kama tukiamua kufahamiana kwa sura zetu?
Maana inawezekana tunaishi mtaa mmoja, tunasoma shule/chuo kimoja, tunapanda daladala moja, ni ndugu, ni marafiki na labda tupo ofisi moja