Kwetu symbion/Tanesoc wamechinja umeme sasa iv!
Hivi hii story ni ya kweliWahaya tulimchukia Nyerere, kwa sababu alituchukia pia.
Hapa siwachanganyi waliompigia magoti na kumuenzi.
Namtoa na marehemu Batenga alomtapeli matofali ya kujengea nyumba pale victoria (Knight Support Security makao makuu ni nyumba yake).
Hivi hii story ni ya kweli
Hivi hii story ni ya kweli
Anachangamsha genge tuuuu....walshaambiwa kuwa wanapaswa kuitetea BAJETI KUFA NA KUPONA....what daz that meanNgeleja namwonea huruma kweli watamwua kwa presha mwaka huu, upande huu yupo j.makamba na kamati yake na nishati inamdai umeme upande huu ole sendeka nae ameanza mhhh......lakini kwa uzoefu unavyoonesha kumbania bajeti itakuwa ngumu maana wabunge wa c.c.m uwaga wanalegezwa katika vikao vya chama vinvyoitishwaga ghafla pale itapoonekana waziri anaweza kupata tabu kupitisha bajeti yake..."wenyewe wanakamsemo chao chama kwanza mengine baadae"
Na mimi hizi story nilishawahi kuzisikia lakini nilidhani zilikuwa ni story tu za kuchangamsha baraza..Mimi niliwai ambiwa kuwa ile nyumba ni ya BATENGA kuna rafili yangu aliwahi kuajiriwa kupga rangi
Na mimi hizi story nilishawahi kuzisikia lakini nilidhani zilikuwa ni story tu za kuchangamsha baraza..
Amesema lazima kagoda na deep green finance wachukuliwe hatua wasiachwe wanatamba mtaani
Mbunge wa simanjiro kupitia chama cha ccm bwana ole sendeka ametahadharisha baadhi ya watu wanaomwita mwl Nyerere kuwa ni dikteta kwamba serikari itaweka mkakati wa kuwafuatilia pia amehusisha na mitandao ya kijamii pia
Híi Mibunge ya ccm ovyo sana yaani sijui inasimamia wapi kama kinyonga tu asubuhi kaongea Lowassa imemshangilia sana jioni hii kaongea Olesendeka akitaka Mafisadi wote washughulikiwe bila kuangalia sura zao kashangiliwa hadi vigelegele na haohao mi nimeshindwa kuelewa wanasimamia wapi lazima watuonyeshe kwa dhamira na vitendo kama wanamchukia Fisadi wamchukie kweli.