Ole sendeka aigusa tena kagoda,deep finance

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
15,203
16,327
Mbunge wa simanjiro kupitia chama cha ccm bwana ole sendeka ametahadharisha baadhi ya watu wanaomwita mwl Nyerere kuwa ni dikteta kwamba serikari itaweka mkakati wa kuwafuatilia pia amehusisha na mitandao ya kijamii pia
 
Tatizo liko wapi hapo? fikra za watu anataka kuzingilia sasa....Ni mitazamo tu mbona wao magamba madikteta pia.
 
Ataka mafisad wote wafikishwe mahakamani,walichota BoT mbona wengine wanaachwa???,vipi ,meremeta???maelezo ya meremeta yatakwamisha bajeti ya ngeleja....wabunge wakatazwa kushangilia....
 
Pia amesema kwa wale wanaomtukana Baba wa Taifa kwenye Mitandao; Kwamba alikuwa ni Dikteta na Haambiliki watafutwe na Serikali ili tuwatenge sababu hawaitakii mema nchi yetu...

My Take
Nadhani kwa kufanya hivyo itakuwa ni Udikteta..., where is freedom of speech
 
Akiendelea hivi.......kitaeleweka.....na amesisitiza wabunge waache ushabiki......japo kuna mambo hakubaliani nayo lakini anaikubali hotuba ya mkuu wa upinzani
 
Pia amesema kwa wale wanaomtukana Baba wa Taifa kwenye Mitandao; Kwamba alikuwa ni Dikteta na Haambiliki watafutwe na Serikali ili tuwatenge sababu hawaitakii mema nchi yetu...

My Take
Nadhani kwa kufanya hivyo itakuwa ni Udikteta..., where is freedom of speech


hapa anamuongelea mpumbavu maggid mjengwa tena muda huu yupo sweden kwa mke wake yule kikongwe ni vizuri serikali imwambie asirudi hapa bongo kabisa, sipendi mtu amtukane mwalimu hata mara moja mzee wa watu alikuwa na uwezo wa kuwa tajiri atakavyo, lakini amekufa masikini na kuiacha familia isiyokuwa na kitu.
 
Ni ngumu kila mtanzania amsifie nyerere.....hata yeye alikiri kua kuna mabaya walifanya kwenye utawala wao wa MIAKA 25
Pia amesema kwa wale wanaomtukana Baba wa Taifa kwenye Mitandao; Kwamba alikuwa ni Dikteta na Haambiliki watafutwe na Serikali ili tuwatenge sababu hawaitakii mema nchi yetu... My TakeNadhani kwa kufanya hivyo itakuwa ni Udikteta..., where is freedom of speech
 
sorry ndugu nilikuwa nafikiri hoja fulani kuhusu makamba nikakuta nachanganya habari na mbaya zaidi tanesco wamechukua umeme wao
 
Amesema lazima kagoda na deep green finance wachukuliwe hatua wasiachwe wanatamba mtaani
 
Amesema walimu tulipwe zaidi,tunafundisha huku vijijin tulipwe x 3 zaid......is it possible
 
Back
Top Bottom