Ole sendeka aigusa tena kagoda,deep finance

Ameitaka serikali iwatafute wanaomchafua JK Nyerere magazetin na mtandaoni, anasema vita yake na mafisadi inaendelea.Lazima serikali iseme Deep green na Kagoda ni akinan... Wabunge wote wa ccm wangekuwa hv ingekuwa safi kweli.
 
Duh! Ni lini wabunge wa CCM watakaa kama kamati, au ni lini kamati za ccm zitakaa wasije wakam-kolimbalise
 
Kwetu symbion/Tanesoc wamechinja umeme sasa iv!

Kweli Ole ni kamanda wa vita dhidi ya ufisadi. Amenena bila kumung'unya maneno lakini wakati anaendelea kutema cheche umeme umekatika na ghafla umerudi akiwa amemaliza!! What a coincidence?
 
Wahaya tulimchukia Nyerere, kwa sababu alituchukia pia.
Hapa siwachanganyi waliompigia magoti na kumuenzi.
Namtoa na marehemu Batenga alomtapeli matofali ya kujengea nyumba pale victoria (Knight Support Security makao makuu ni nyumba yake).
 
Ngeleja namwonea huruma kweli watamwua kwa presha mwaka huu, upande huu yupo j.makamba na kamati yake na nishati inamdai umeme upande huu ole sendeka nae ameanza mhhh......
lakini kwa uzoefu unavyoonesha kumbania bajeti itakuwa ngumu maana wabunge wa c.c.m uwaga wanalegezwa katika vikao vya chama vinvyoitishwaga ghafla pale itapoonekana waziri anaweza kupata tabu kupitisha bajeti yake..."wenyewe wanakamsemo chao chama kwanza mengine baadae"
 
Wahaya tulimchukia Nyerere, kwa sababu alituchukia pia.
Hapa siwachanganyi waliompigia magoti na kumuenzi.
Namtoa na marehemu Batenga alomtapeli matofali ya kujengea nyumba pale victoria (Knight Support Security makao makuu ni nyumba yake).
Hivi hii story ni ya kweli
 
Híi Mibunge ya ccm ovyo sana yaani sijui inasimamia wapi kama kinyonga tu asubuhi kaongea Lowassa imemshangilia sana jioni hii kaongea Olesendeka akitaka Mafisadi wote washughulikiwe bila kuangalia sura zao kashangiliwa hadi vigelegele na haohao mi nimeshindwa kuelewa wanasimamia wapi lazima watuonyeshe kwa dhamira na vitendo kama wanamchukia Fisadi wamchukie kweli.
 
Kinyonga tangu lini akawa na rangi moja? CCM kwa kweli siwaelewi wanalipeka wapi taifa
Kenya wako serious na ni wazalendo na mali ya umma.Tanzania tunabebana kulindana
JK angekuwa makini angeshafukuza kazi mawaziri wazembe ingeamsha ari ya mawaziri
wengine kuwajibika.wizi mtupu.
 
Ngeleja namwonea huruma kweli watamwua kwa presha mwaka huu, upande huu yupo j.makamba na kamati yake na nishati inamdai umeme upande huu ole sendeka nae ameanza mhhh......lakini kwa uzoefu unavyoonesha kumbania bajeti itakuwa ngumu maana wabunge wa c.c.m uwaga wanalegezwa katika vikao vya chama vinvyoitishwaga ghafla pale itapoonekana waziri anaweza kupata tabu kupitisha bajeti yake..."wenyewe wanakamsemo chao chama kwanza mengine baadae"
Anachangamsha genge tuuuu....walshaambiwa kuwa wanapaswa kuitetea BAJETI KUFA NA KUPONA....what daz that mean
 
Mbunge wa simanjiro kupitia chama cha ccm bwana ole sendeka ametahadharisha baadhi ya watu wanaomwita mwl Nyerere kuwa ni dikteta kwamba serikari itaweka mkakati wa kuwafuatilia pia amehusisha na mitandao ya kijamii pia

N wale wanaochochea mijadala yenye kutugawa kwa misingi ya kidini, wasiachwe!
 
Híi Mibunge ya ccm ovyo sana yaani sijui inasimamia wapi kama kinyonga tu asubuhi kaongea Lowassa imemshangilia sana jioni hii kaongea Olesendeka akitaka Mafisadi wote washughulikiwe bila kuangalia sura zao kashangiliwa hadi vigelegele na haohao mi nimeshindwa kuelewa wanasimamia wapi lazima watuonyeshe kwa dhamira na vitendo kama wanamchukia Fisadi wamchukie kweli.

Labda hawajui la kufanya!
 
Back
Top Bottom