CCM imuadhibu Ole Sendeka kwa kuvamia mashamba na kuharibu amani

fisi 2

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
3,273
4,626
Katika hali ya kuishiwa na akili za uongozi, Ole Sendeka ameendelea kusababisha vurugu na kushawishi wananchi kuvamia mashamba ya wawekezaji halali. Baada ya vikao anavyodai vya siri na baadhi ya wanachi ,Jana tarehe 11/12/2023 na leo 12/12/2023 wananchi wa Naberera walienda kuvamia shamba la Rotiana Social Investment Ltd Ole Sendeka akiwa nyuma yao.

Bila aibu na hali akijua mashamba hayo yanamilikiwa kihalali na yanaendeshwa na Kampuni ya Rotiana Ole Sendeka amesema uongo kuwa mashamba hayo hayana mmiliki na kuwambia wananchi wayachukue kwa nguvu.

Ikumbukwe kuwa Ole Sendeka 2018 hadi 2022 aliendesha uovu kama huo kwa shamba la Marehemu Yese ambae alikua rafiki yake lililopo Ngage Wilayani Humo Simanjiro hadi alipoumbuliwa na Naibu Waizir wa Waklatyi huo Ridhiwan Kikwete na pia kuzodolewa na binti mkubwa wa Yese. tazama hapa NAIBU WAZIRI KIKWETE AKEMEA UDANGANYIFU KATIKA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI

pia tazama hapa
View: https://www.youtube.com/watch?v=JaaziTjBlSc.

CCM Ole Sendeka ni laana na atasababisha hasara kwa serikali kwani wananchi wanaodhulumiwa wataenda mahakamani na kushindwa kama ilivyotokea kwenye kesi namba 227 (2012) . achukuliwe hatua haraka kwani ni kirusi kibaya. Inashangaza pia viongozi wa wilaya wanamfungia macho akliendeleza ujinga wa uvunjaji wa sheria.

Ole Sendeka AMECHOKA APUMZISHWE.

AGUB6839.JPG
IMG-20231212-WA0027.jpg
IMG-20231212-WA0029.jpg
RVXG9350.JPG

Soma pia > Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana
 
Attachments

  • TANZANIA MILLING JUDGMENT - GVT LOSES 2023.pdf
    7.2 MB · Views: 4
Huyu anaweza kuwa analipa UBAZAZI wake aliofanya dhidi ya hawa wenye mali zao
 
Katika hali ya kuishiwa na akili za uongozi, Ole Sendeka ameendelea kusababisha vurugu na kushawishi wananchi kuvamia mashamba ya wawekezaji halali. Baada ya vikao anavyodai vya siri na baadhi ya wanachi ,Jana tarehe 11/12/2023 na leo 12/12/2023 wananchi wa Naberera walienda kuvamia shamba la Rotiana Social Investment Ltd Ole Sendeka akiwa nyuma yao.

Bila aibu na hali akijua mashamba hayo yanamilikiwa kihalali na yanaendeshwa na Kampuni ya Rotiana Ole Sendeka amesema uongo kuwa mashamba hayo hayana mmiliki na kuwambia wananchi wayachukue kwa nguvu.

Ikumbukwe kuwa Ole Sendeka 2018 hadi 2022 aliendesha uovu kama huo kwa shamba la Marehemu Yese ambae alikua rafiki yake lililopo Ngage Wilayani Humo Simanjiro hadi alipoumbuliwa na Naibu Waizir wa Waklatyi huo Ridhiwan Kikwete na pia kuzodolewa na binti mkubwa wa Yese. tazama hapa NAIBU WAZIRI KIKWETE AKEMEA UDANGANYIFU KATIKA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI

pia tazama hapa
View: https://www.youtube.com/watch?v=JaaziTjBlSc.

CCM Ole Sendeka ni laana na atasababisha hasara kwa serikali kwani wananchi wanaodhulumiwa wataenda mahakamani na kushindwa kama ilivyotokea kwenye kesi namba 227 (2012) . achukuliwe hatua haraka kwani ni kirusi kibaya. Inashangaza pia viongozi wa wilaya wanamfungia macho akliendeleza ujinga wa uvunjaji wa sheria.

Ole Sendeka AMECHOKA APUMZISHWE.

View attachment 2840755View attachment 2840756View attachment 2840757View attachment 2840758

Kwa hiyo ugomvi wa mashamba ndiyo umeenda mbali vile? Kwani Mbunge haiwezekani kumshinda bila risasi?

Ova
 
Hatimaye
 
Hivi happ Simanjiro hakuna watu wengine wa kuwawabunge naona jamaa kajimilikisha ubunge wa kudumu.
 
Watu wenye matumbo makubwa kupitiliza siku zote ni watu wa hovyo hovyo tu.
 
Back
Top Bottom