OLE Millya aondoka na sh milioni mbili za UVCCM

ole milya ni msafi yaani kaondoka na m2 tu!! Tena za kusingiziwa? Magamba wanatapatapa
 
Kwhy ccm ni kichaka cha kujifia matapeli?kwamba ukiwa ndan ya ccm utapel wako hauonekan,ukitoka tu utapel wako unaonekana.inawezekana hata kikwete akitoka ccm ataambiwa tapeli.mmekwisha magamba
 
Niliona wasifu wa Gambo kwenye moja ya gazeti moja linalotoka kila wiki nikamuona ni kijana wa viwango na nikacompliment positively hapa jamvini,sasa kwa approach hii nimepata jumla ya alivyo,huyu ni hatari kuliko hata wazee magamba wa ccm.Nishamkatia tamaa.
 
Jamani CCM haya maneno ya Millya yanatoka wapi tena? mlikuwa wapi kuyasema kabla? yeye ndo mweka hazina? Kwa sasa naona mmechelewa kuyasema mnayo yasema sasa.Hamtaweza kumdhalilisha wala kumshushia hadhi bwana Millya kwani mmechelewa sana na inawezekana nanyi ni miongoni mwa matapeli,kwisha habari yenu!!!!!!!
 
Na hao 2,402 wa longido mnawadai sh.ngapi gumbo?ukiwa kijana ukawa mnafiki ukizeeka utakuwa mchawi,gumbo acha unafiki we bado mdogo.mbona hamjamdai lowasa,karamagi,msabaha,mwakapugi,mkapa,rostam,chenge,na wengineo wengi?
 
kwa mujibu wa Mrisho Gambo; Milya ameondoka na pesa hizo ambazo zilikuwa za kuanzisha saccos ya UVCCM. Amemtaadharisha Mbowe kuwa Millya ni tapeli.....

Sielewi ni kwa nini wamekaa na tapeli muda wote huo bila kumchukulia hatua ina maana CCM wanafuga matapeli?


source: ITV news
Tatizo la CCM ni wasanii, walaghai na ni vigumu kuaminika. Kama kweli kijana huyu aliondoka na hizo fedha mahala sahihi ni kumshtaki mahakamani na si kwenye vyombo vya habari. Ukweli ni kwamba hizi ni propaganda za kuwa confuse CHADEMA na jaribio la kuiharibu political future ya kijana huyu. Tumewagundua, hatudanganyiki kamwe!!!!!!
 
hizi ni siasa za maji ya mtaloni,pesa anatunza mweka hazina na sio mwenyekiti kama mtu kaondoka achaneni nae,kumpaka matope mnajipaka wenyewe badala ya kujumlisha mnatoa.
 
kwa mujibu wa Mrisho Gambo; Milya ameondoka na pesa hizo ambazo zilikuwa za kuanzisha saccos ya UVCCM. Amemtaadharisha Mbowe kuwa Millya ni tapeli.....

Sielewi ni kwa nini wamekaa na tapeli muda wote huo bila kumchukulia hatua ina maana CCM wanafuga matapeli?


source: ITV news
Mfa maji siku zote haishi kutapatapa,sasa anasemaje amekaa na hela zao miaka mitatu
asiitishe kikao hata kimoja.Ninyi Wanachama mlikuwa wapi ndani ya miaka yote Mitatu?
 
Naona MRISHO GAMBO anaweweseka tu, kama mtu kaiba hela za chama mahakama zipo na ana uhuru wa kwenda kumshitaki... Suala la kumwambia Mh. Mbowe kwamba Millya ni jambazi halina ushahidi na ni kuonyesha kuwa CCM wameishiwa HOJA. Hata hivyo, inaonesha kuwa GAMBO hana nia ya dhati ya kukemea wizi kwa sababu kama angekua na nia ya dhati angeanza na wale wezi ambao wapo ndani ya chama afu ndo wafate wale ambao wapo nje ya chama.
 
Nafikiria kukishtaki "Chama Cha Mapinduzi"

Kwa kupigwa kibao na msimamizi wa kituo cha kupiga kura pale nilipouliza "hivi hakuna mgombea mwingine hapa tumchague,(ile karatasi ya kura ilikuwa ya rangi ya kijani halafu ndefu kidogo, kulia ilikuwa na picha ya mzee Mwinyi na alama ta tick, na kushoto kivuli chesi halafu alama ya X" Kwani kulikuwa na tatizo mtu kuuliza ukizingatia nilikuwa mtoto, na kama kawaida ya watoto maswali huwa hayaishi.

Kwa kubaka uhuru wangu na kuniapisha kukitumikia bila idhini yangu Mwaka 1986, kwani I was under 10, kikiwaamuru waalimu kunipa adhabu kali pale nilipokataa kuimba wimbo "Chama chetu cha mapinduzi chajenga nchi". Kikanitoza Tsh 5 ya mafuta ya "sanamu" mwenge kila mwezi hata kama mwenge haukupita. Nina mengi nayaorodhesha na ninaanza mchakato wa kumpata "Mwale".



Kikaniamrisha kuzijua kanuni za chama badala ya masomo yaliyo kwenye mtaala wa elimu.
 
Kama Ole Millya alikuwa mwizi na ameacha wizi,tatizo liko wapi?...hata Biblia inakataza wizi, hata Quran pia hai-support
 
nadhani ni kufirisika kwa hojg kwa CCM ina maana MILYA alikuwa anafanya mambo yote kuanzia ya uhasibu nakadhalika MI NADHANI CCM KUWENI NA HOJA ZA MAANA KWANI MNADHIHIRISHA UJUHA WENU.
 
Amekuwa tapeli baada ya kuondoka UVCCM? Na UVCCM kama taasisi haina akaunti benki? Ni kwa nini basi fedha za taasisi akae nazo mtu binafsi? Acheni siasa chafu jamani. Haya mnayoyasema yatawarudi ninyi

Na kama hizi ndo hoja za viongozi wa UVCCM tena mbele ya chombo cha habari basi kazi ni ngumu kuliko inavyoripotiwa na vyombo vya habari.......kwa uwezo huu wa kujenga hoja ndo alikuwa kapitishwa kugombea ubunge wa Afrika Mashariki??????

1. Kijana unatakiwa kuleta facts.....jinsi zilivyokusanywa na kukabidhiwa kwake na malengo ya kumpa cash badala ya kuziweka bank na kama mlimpa cash na wewe pia ni sehemu ya tatizo

2. Mwanandoa iliyovunjika ushauri wake hauwezi kupokelewa na mtarajiwa mpya hata ukeshe ukisimulia visa vyake coz preferrences zako si zake

3. Akiwa kama mwana CCM why bother with integrity ya mwanachama wa upinzani????? After all ni tapeli!!!!!

On the other side; Kama na wewe bwana Millya umeondoka na pesa za watu hata kama walikupa kizembe rudisha bana mambo kama haya ndo yanatunyima usingizi na bunge hili linaloendelea
 
Ok, kwenye zile trion 4 alizokula Pinda na genge lake tunalipa deni hilo, alafu na nyie (magamba) mtulipe fasta zinazosalia!!

Kesho naenda kulipa ilo deni palepale ofisini kwa niaba ya Millya!! Wajiandae kunionyesha nyaraka aliposaini wakati wa kuchukua uvo vujisenti!

Hapana kufanya hasira na haraka.......Millya should go and handover the office with all due procedures before advocates and media.......we need clean hands and proper records for the rest of our lives

Political songs will turn our ears into something not useful for hearing purposes
 
Back
Top Bottom