OLE Millya aondoka na sh milioni mbili za UVCCM

Magamba bwana wakiweka kati wanajua kubwabwaja, duh sasa vipi na wale 2400 nao watakuwa nini au wao ndio tapelix2
 
kwa mujibu wa mrisho gambo milya ameondoka na pesa hizo ambazo zilikuwa za kuanzisha saccos ya uvccm. Amemtaadharisha mbowe kuwa millya ni tapeli.....sielewi ni kwa nini wamekaa na tapeli muda wote huo bila kumchkulia hatua ina maana ccm wanafuga matapeli?

Siasa za maji taka anaanzisha...Magamba bwana...Hawakui. Chadema tunajadiri masuala na sio watu. Hiyo Tahadhali ya Gumbo Ampe Mkama na Nape.
 
Hiyo taarifa imekanushwa na vijana wengine wa CCM Arusha. Labda wajaribu kutunga uongo mwingine. Hivi mlikuwa mnasubiri James atoke CCM ndo muanze kusema mchafu? Mlikuwa wapi miaka yote toka 2008?
 
Ina maana UVCCM hawana account mpaka Milya ajar na hizo pesa nyumbani? Pia hawana mmweka hazina?
Hizo ni mbinu tu za kutaka kumchafua kwa sababu amewaacha.



UOTE=samirnasri;3743117]kwa mujibu wa mrisho gambo milya ameondoka na pesa hizo ambazo zilikuwa za kuanzisha saccos ya uvccm. Amemtaadharisha mbowe kuwa millya ni tapeli.....sielewi ni kwa nini wamekaa na tapeli muda wote huo bila kumchkulia hatua ina maana ccm wanafuga matapeli?[/QUOTE]
 
mfa maji! ila akiwa aliiba hapana la kushangaza, kila KIONGOZI CCM ni MWIZI!
530180_339922929404575_100001606112228_983720_1337993757_n.jpg
 
Ukifuatilia kauli za viongozi wa CCM unaweza kutapika. Hata kama jamaa ni tapeli kweli huu si wakati muafaka kusema maana tayari wawakuwa naye kwa muda na inaonekana walikuwa na taratibu za kifisadi katika umoja wa vijana kwa muda mrefu. Mwenyekiti kutunza fedha za umoja katika mfumo upi zaidi ya ule wa kimagamba?

Amekuwa tapeli baada ya kuondoka UVCCM? Na UVCCM kama taasisi haina akaunti benki? Ni kwa nini basi fedha za taasisi akae nazo mtu binafsi? Acheni siasa chafu jamani. Haya mnayoyasema yatawarudi ninyi
 
kwa mujibu wa mrisho gambo milya ameondoka na pesa hizo ambazo zilikuwa za kuanzisha saccos ya uvccm. Amemtaadharisha mbowe kuwa millya ni tapeli.....sielewi ni kwa nini wamekaa na tapeli muda wote huo bila kumchkulia hatua ina maana ccm wanafuga matapeli?


source: ITV news
saccoss gani ya kufungua kwa sh mil 2?acheni uhuni,hilo jengo la ofisi yenu mnglilipia sh ngapi kwa mwaka?hao wanasheria wa kusimamia hiyo mikopo mngewalipa kiasi gani na hao wahasibu wa kupiga hesabu za riba mngewalipaje kwenye hiyo mil 2?na ni kiasi gani mngetenga kwa ajili ya kukopesha?
 
Ok, kwenye zile trion 4 alizokula Pinda na genge lake tunalipa deni hilo, alafu na nyie (magamba) mtulipe fasta zinazosalia!!

Kesho naenda kulipa ilo deni palepale ofisini kwa niaba ya Millya!! Wajiandae kunionyesha nyaraka aliposaini wakati wa kuchukua uvo vujisenti!
 
watasema hata yasiyosemeka, ni kuwahurumia tu. Polisi mnao, mahakama mnazicontrol wenyewe, na Millya wala hajaenda mbali mnasubiri nini. acheni hizo
 
Hawa ccm wanao jivua gamba nikama mateka wanaorudi nyumbani Safisana hii inakua nitumainijipya kwa chadema lakini hivi nikwanini hukumu yalema ili somwa kwakingereza angali watanzania wengi hawakijui
 
Ee jamani inawezekana vipi muachie tapeli hela na uongozi kwa miaka yote hiyo? Kweli ccm kila idara mmechoka. Ombeni msaada hata Lulu.
 
Mrisho we ni mshkaji wangu na juzi umenifrahisha bungeni ila am tired with u coz u try 2 use sewage politics fight against cheap popularity,shame on you GAMBO.
 
Chonde chonde ccm arusha,hayomahesabu ya 2mil anazo sema Gambo ni kuwa ameshaandaa mazingira ya yeye na mwenzake kula ili wasingizie Milya bcoz hayupo tena. Poor Mrisho na Nape Nnauye
 
Back
Top Bottom