mozes
Senior Member
- Jan 11, 2012
- 115
- 21
Ndugu wanajamvi mtakumbuka mwaka 2010 uchguzi mkuu mh huyu alipoamua kuacha kazi yake pale mawasiliano tower na kuja kugombea jimboni Arumeru magharibi. Mh Ole Medeye alifanikiwa kushinda kuwa mbunge na pia kufanikiwa kuingizwa kwenye baraza la mawaziri kama naibu wazir Ardhi. Mh huyu aling'ara sana kipindi hicho ambacho alianza siasa.
Toka aingie bungen huyu jamaa sijawahi ona mchango wake wenye tija kwa wana Arumeru, wala kufanya mikutano kwetu sisi wananchi wake. Mh huyu ndo yeye alietisha kikao cha malaigwanani pale arusha tec ili kuhamasisha ukabila na kwa bahati mbaya hizo siri zilivuja na ndo maana Lema aliposema bungen mkuu wa kaya alifanyia hizo taarifa kazi na akaamua kumtoa kwenye baraza la mawaziri. Huyu mh kwa sasa kwa kweli hakubaliki jimboni na hata akija kwake (tuko jirani) anaogopa kufungua vioo vya gari kama zamani. Mbaya zaidi hata ndani ya ccm wamemchoka huku jimboni na wanamipango lukuki ya kumwondoa. Wananchi wameshaonesha hasira zao baada ya sehemu kubwa ya mitaa kuchukuliwa na chadema.
Huyu kiongozi hana jipya zaidi ya kujipotezea muda.