Huko ushoga pia upo ila ni marufuku kuuzungumzia. Umesahau yule prince wa saudia aliyemuua mumewe ambaye ni mwanamume mwenzie wakiwa wanakula raha huko UK? Tangu mwaka jana huyo prince wa Saudia yuko ndani.
Dawa ni kujitegemea kwa kutumia rasilimali zetu na siyo kutafuta jumuiya za kuganga njaa na kuomba omba kama matonya
Tuombe Mwana wa ADAMU aje upesi. Vitendo vya uovu huu vipo kila mahali. Si nchi tajili wala masikini, kote tu. Si dar wala Sumbawanga kote vipo tu. Watu wanafanya uchafu mpaka kwa wanyama. YESU KRISTO ana huruma sana, na ni mvumilivu, anaacha mtu aamue mwenyewe kumtumikia YEYE ama shetani. Lakini siku ya MWISHO yeye ndo atakayehukumu. Ukichunguza sana katika mjadala huu (wa cameron) utagundua issue ni kuutangaza?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.