OIC inasemaje kuhusu Mashoga?

J4MAYOKA

Senior Member
Jul 16, 2011
147
84
Je OIC inaruhusu ushoga?

kama hairuhusu kwa nini tunganganie kuwemo ndani ya JUMUIA YA MASHOGA ya COMMONWEALTH?

thread hii itatupa picha na kuwatambua za watetea mashoga wa JF ambao wanapinga tusijiunge na OIC
 
Huko ushoga pia upo ila ni marufuku kuuzungumzia. Umesahau yule prince wa saudia aliyemuua mumewe ambaye ni mwanamume mwenzie wakiwa wanakula raha huko UK? Tangu mwaka jana huyo prince wa Saudia yuko ndani.


Dawa ni kujitegemea kwa kutumia rasilimali zetu na siyo kutafuta jumuiya za kuganga njaa na kuomba omba kama matonya
 
Tuombe Mwana wa ADAMU aje upesi. Vitendo vya uovu huu vipo kila mahali. Si nchi tajili wala masikini, kote tu. Si dar wala Sumbawanga kote vipo tu. Watu wanafanya uchafu mpaka kwa wanyama. YESU KRISTO ana huruma sana, na ni mvumilivu, anaacha mtu aamue mwenyewe kumtumikia YEYE ama shetani. Lakini siku ya MWISHO yeye ndo atakayehukumu. Ukichunguza sana katika mjadala huu (wa cameron) utagundua issue ni kuutangaza?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom