Ogopeni Simu! R.I.P Kanumba.

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
Kwa kuwa chanzo cha mgogoro uliopelekea Kanumba kugombana na mpenzi wake Lulu ni simu basi:
  1. Simu ni hatari sana zimetuondolea kijana mahiri sana
  2. Tuwe makini ktk matumizi

Ila mimi na mpenzi wangu tunafikiri kuacha kutumia simu!

Tunaomba ushauri.
 
lazima na mie nitoke na uzi wa Kanumba dah!
Wewe Kongosho, mi naomba ushauri halafu unaleta utani. Nadhani kunahaja ya kulizungumzia pia hili maana mimi na mpenzi wangu tumekaa tukatafakari sana, je Lulu asingepigiwa simu si Kanumba tungekuwa naye. Lakini hiyo simu iliyopigwa ndiyo iliyozima nuru ya mwanga uliokuwa unang'aa ndani na nje ya Tanzania.
 
lazima na mie nitoke na uzi wa Kanumba dah!
Kuna mtu kaanzisha uzi unaitwa :Jack Daniel...
Niliuona nikataka kujua ni nini but machale yakanicheza
Sijaingia hadi sasa. Nimejaribu kukaa mbali na nyuzi hizo
Nitachangia ule utakao anzisha wewe. Unaanzisha lini?
 
Simu haina tatizo ila matatizo yako kwa Watumiaji wa kifaa hicho cha mawasiliano kutokana na tafsiri potufu nakadhalika hivyo kuchangia kuleta matatizo mbalimbali!!
 
Kwa kuwa chanzo cha mgogoro uliopelekea Kanumba kugombana na mpenzi wake Lulu ni simu basi:
  1. Simu ni hatari sana zimetuondolea kijana mahiri sana
  2. Tuwe makini ktk matumizi

Ila mimi na mpenzi wangu tunafikiri kuacha kutumia simu!

Tunaomba ushauri.

Wewe na mpenzi wako tumieni walkie-talkie mtakuwa salama zaidi.
 
Watanzania tunashida flani..
Wenzetu wamehangaika kuleta mashine kuraboresha na kufanya maisha yawe ya rahz kwa mwanadamu sasa cheki tunachokifanya..
Magari badala ya kutuwahisha kwenye shughuli zetu 2nayatumia kuuana na kuringiana..
Ndege nazo hatuzitengenezi, ATC wametudhibitishia juzi tu..
Simu badala kutufanikishia shughuli za maendeleo tunafanyia madudu kibao... Ndo mengine yamemkuta Kanumba..
God bless Tanzanianz...
 
Ila mpenzi wako akitaka simu ni bora uwe mpole. Kuficha ficha kunatia wasiwasi.
 
I used to know a man, (boyfriend) mwanzoni wakati Simu zimeingia. Nilikuwa nikireceive Simu, ananipisha. Kama tulikuwa chumbani anaenda sebuleni, mwanzoni l was troubled nikawa najiuliza ananifikiriaje?

Kama naumwa tukienda hosptl, ananiacha niingie kwa daktari peke yangu.

Mwanzoni mwa relation, he didn't want to hear anything about my past relations.

Sasa ndio namuelewa jinsi gani anavyoheshimu privacy ya mtu. Na kwa muda ambao niliishi naye nilimrespect na kumpenda sana!

I wish it was a case kwa mapenzi ya siku hizi!
 
Kuaminiana imekua ndio ishu na hizi wivu za ajaabu,cm wala hazina tatizo ukimwamin mwenzio hala hakutakua na kuchunguza cm ya mtu wala mahojiano yakupelekea malumbano na kuzichukia cm,mtu ukiona bado unahitaji kuwa na vimeo na kuwasiliana navo nikutokua komited mpaka utakapokua tayari.
 
Kwa kuwa chanzo cha mgogoro uliopelekea Kanumba kugombana na mpenzi wake Lulu ni simu basi:
  1. Simu ni hatari sana zimetuondolea kijana mahiri sana
  2. Tuwe makini ktk matumizi

Ila mimi na mpenzi wangu tunafikiri kuacha kutumia simu!

Tunaomba ushauri.

unajua wivu kupita kiasi waweza kuathir mapenzi,,'ila sisi watanzania tunaamin wivu ndo mapenzi..'msipende tabia ya kusearch sim ya mpenz wako..'ndio chanzo cha kupata mawazo,,
 
Back
Top Bottom