Ofisi za CUF Musoma mjini zafungwa

Chama cha wananchi cuf tawi la Musoma lafungwa baada ya viongozi na wanachama wote kujiuzuri uanachama wa chama hichi tawi la Musoma

My take; miezi miwili ijayo Cuf Tanzania Bara itakuwa history!.
 
Viongozi wote wa CUF wilaya ya Musoma wamejiuzulu uongozi na kujitoa uanachama wa chama hicho.
Viongozi hao ni viongozi wote wa wilaya na kamati yote ya utendaji.Pia wapo waasisi wa chama waliojitoa.
Sababu kubwa ya kujitoa ni kulaani ubaguzi ndani ya chama na pia kusema chama hicho kimeshakufa na kinasubiri kuzikwa.

Source: HABARI ITV
 
Juzi Mtatiro kaja Urambo ilikuwa aibu! Watu walikuwa kiduchu sana hadi huruma, watajuta usaliti wa Maalim kwa wazanzibar utawatafuta hadi wabakie mifupa. Maalim, Mtatiro, Jussa wako kimaslahi zaidi. Maalim Seif ameua chama kabisa kukubali kuolewa na Shein.
 
Saratani iliyoikuta cuf haitaibakiza. Ule ugangari ndiyo basi, maskini kipenzi cha dini yetu ndiyo unapuputika nikishuhudia!!!
 
MUSTAFA WANDWI na HUSSEIN WANDWI nao wamesalimu amri...Aiseeeee! Vyama vya upinzani kweli ni sawa na mitaji isiyotunzwa na wenye nayo.
 
Tena Musoma walikuwa wanatafunwa na mzimu wa JULIUS DESUZA MASAKA aliyekuwa akitumikia chama wakati wa uhai wake huku familia yake ikilala njaa.
 
Mwenyekiti wa CUF yuko Geneva anafurahia $$ za kazi anazofanya huko hajali kazi yake ya Uwenyekiti wa CUF?
 
Sijui kama Juma Mtatiro ana miezi miwili cuf,lazima ilo tshirt jekundu alivue
 
Back
Top Bottom