Ofisi za CUF Musoma mjini zafungwa

MUSTAFA WANDWI na HUSSEIN WANDWI nao wamesalimu amri...Aiseeeee! Vyama vya upinzani kweli ni sawa na mitaji isiyotunzwa na wenye nayo.

Duh huyu RPC wangu wa zamani kila akiingia chama cha siasa anakumbana na tafrani. NCCR, CUF sijui wapi next.

Hivi huyu Mtatiro anatufanya sisi watanzania wajinga ati, kila mtu akijitoa chamani yeye anasema aaaah hawa walishafukuzwa zamaaaaani. Hivi hadi sasa CUF imeishafukuza wanachama wangapi?
 
Mwenyekiti wa CUF yuko Geneva anafurahia $$ za kazi anazofanya huko hajali kazi yake ya Uwenyekiti wa CUF?

Mwenyekiti anafanya kazi zake za siasa kwa tele conference! Unajua kwa mujibu wa katiba ya CUF mwenyekiti hana majukumu yoyote (ni sawa tu na Rais wa Israel ama India), kila kitu ni kwa Katibu mkuu! Ikikaribia uchaguzi utamuona mwenyekiti anakuja kuchukua form (kama CUF itaendelea kuwepo).
 
Usaliti umeiua CUF. Itabid nimtafute Wandwi nijue kuwa naye atahamia kwa Hamad Rashid au lah.
 
Hata kikifa hatutapoteza chochote huku bara maana kauli za viongozi wao zimeonyesha kututenga. Jusa amesema wameshindwa uchaguzi wa uzini kwa sababu jimbo lina "wakristo na wabara wengi" na yeye hii haipendi. KALALE MAHALI PEMA MOTONI CUF na ubaguzi wako.
 
Back
Top Bottom