Yap, aliimba na Nature, Kamanda alituliza boli kwa ajili ya shule... sasa amerudi tena kwenye game! soon atatoa Album yake!Dah! Alikuwa kapotelea wapi huyu? Maana jamaa vocals anaweza kwenda toe to toe na Nature. Hivi ule wimbo wa Acquelina aliimba na Nature au zilikuwa vocals zake?
Kibunango nenda shule lol...acha kulala club heheee!
Beat imetulia, video nice and simple, lyrics bomba. Idea nzuri kuweka subtitles. Big up man!