OCG- Rafiki yangu...!

Dah! Alikuwa kapotelea wapi huyu? Maana jamaa vocals anaweza kwenda toe to toe na Nature. Hivi ule wimbo wa Acquelina aliimba na Nature au zilikuwa vocals zake?
Kibunango nenda shule lol...acha kulala club heheee!
Beat imetulia, video nice and simple, lyrics bomba. Idea nzuri kuweka subtitles. Big up man!
 
Yap, aliimba na Nature, Kamanda alituliza boli kwa ajili ya shule... sasa amerudi tena kwenye game! soon atatoa Album yake!

Weekend inayofuata yupo Dudu Baya na Ali Kiba.... hapatoshi hapa Finland!
 
Ze Dudu ndani ya Tampere

dudubaya.jpg
Ze Dudu akiimba wimbo wa Mpenzi

Mika%20Mwamba.JPG
Mika Mwamba, alikuwepo kudj
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom