Obituary: Zambia's Levy Mwanawasa

Du,hii habari! Hebu nivute subira kusema RIP.Halafu huyu mtu Wa Pwani analeta habari na kupotea,tuwe makini sana na huyu mtu.Huwa Ana tabia ya kukurupuka sana


maalim taratibu mie sie nilieleta habari hii
 
kichwa changu kinageuka kulia na kushoto na nimesoma kutoka mwanzo hadi hapa mwisho sijapata uhakika wa niamini kipi.Kafa au la.So kwa vile huku majita kuna shida ya mtandao ngoja nizidi kukizungusha tuu kichwa kushoto kulia hadi nitakapo pata jibu.
haya...
 
Jamani wanajf sijatoweka nawashauri tusubiri kusikia tangazo maaluma mana huyu mtu si mtu mdogo ni lazima wafanye maandalizi kwanza.Kumbukeni ilivyokuwa kwa Nyerere
 
out of topic lakini..duh!, huyu mzee sasa ni sawa na simba mzee aliyejeruhiwa!!!

Huyu mzee ni mjinga.Anayofanya sasa ni kwa manufaa yake binafsi na si kwa Wazimbabwe. Kama wewe rais hujali welfare ya wananchi wako unategemea nini kutoka kwa watu wa nje. What does he going to achieve by using provotative words? Africans we dont live in the air or in our own planet. Wazee wenye akili kama akina Mandela walioteswa na Wazungu almost maisha yao yote walipopewa madaraka hakutaka kuwaonyesha wazungu kuwa sasa yeye ni Mwafrica mwenye rungu na ni zamu ya Wazungu ku-suffer. Hiyo ndo busara ya kiongozi. Unajua kila vita ina right way na wrong way ya kui-fight. Mugabe is fighting this war a wrong way. Kiongozi mahiri siku zote huchukua maamuzi yenye hekima na si maamuzi yakutaka aonekane shujaa. Ushujaa huja kama matokeo ya maamuzi yenye busara.
 
Nini kilicho out of topic MCHONGOMA?
Kwamba Mwanawasa anayemsapoti TSIVANGIRAI DHIDI YA MUGABE KAFA...NA KWAHIYO MUGABE NI OUT OF TOPIC?
Think before you say!
Na kama huna cha kusema...Basi na mimi nakwambia ni heri upige kimya kwani UFAHAMU WAKO UTAKUWA MATATANI.
Kwani ni wazalendo pekee waliokuwa wakipiga kelele KIKWETE ansisapoti vita vya kumuondoa MUGABE!
SASA WAZALENDO'S POINT PREVAILED...NA SASA NI MADONGO!
I AM HERE TO STAY GENTLEMAN!

...'tuk-tuk tuk!'... Bro, unachanganya mambo mno sasa...JF is also here to stay. maybe you need a break (?)
 
Quote:
Originally Posted by kichuguu
Hadi ninapoandika post hii, nimethibitisha kuwa bado Mwanawasa yuko hai; hata hivyo, brain haemorrhage ni tatizo la hatari sana. Probability ya kupona kutokana na braini haemorrhage ni 50% na hasa inategemea mambo kadhaa ikiwemo promtness ya kumpatia matibabu, umri wa mgonjwa, na kama mgonjwa ana historia ya kuvuta sigara na kunywa pombe kwa wingi sana. Hata kama akipona, akili yake itakuwa imeharibika kwa kiasi fulani na atabaki na utaahira fulani maisha yake yote. Kuiweka katika lugha rahisi ni kuwa Mwanawasa hawezi kuendelea vizuri tena na madaraka yake kama rais wa Zambia; hata Ariel Shalon wa Israel alianza vivyo hivyo.

Hii wataalamu wanaita Cerebral Haemorrhage, hebu tupate kujua kidogo hii ni nini, kwa kusoma maelezo yafuatayo:

Cerebral haemorrhage


A cerebral haemorrhage is bleeding from a ruptured blood vessel in the brain. Without prompt medical treatment, this can result in death. A person who survives may be left with permanent disabilities, depending on the location and severity of the brain damage. Cerebral haemorrhage is commonly referred to as a type of stroke.

Types of brain haemorrhage
The brain is wrapped in three membranes, each serving a different function. The innermost membrane contains the blood vessels. The brain is nourished and cushioned by cerebrospinal fluid, which is contained between this first membrane and the second membrane. The third and last membrane (dura) lines the inside of the skull and is comparatively thick and tough.

A intracerebral haemorrhage is any bleeding that occurs inside the brain tissue. Bleeding that occurs in the space between the first and second membranes around the brain is called a subarachnoid haemorrhage.

Symptoms:
The symptoms of a cerebral haemorrhage vary according to the location and severity of the bleeding, but may include:

Sudden onset of symptoms
Weakness
Clumsiness
Numbness or pins and needles of the face, arm or leg – usually on one side of the body
Paralysis on one side of the body
Slurring speech or difficulty finding words
Severe headache
Nausea
Vomiting
Drowsiness
Unconsciousness
Dizziness
Difficulty walking or loss of balance
Confusion.

Strokes
‘Stroke’ or ‘brain attack’ are non-medical terms used to describe the disruption of blood flow to the brain. This may be caused by cerebral haemorrhage (haemorrhagic stroke) or by blockage of an artery (ischaemic stroke). Approximately one in 10 strokes is caused by cerebral haemorrhage. This type of stroke (haemorrhagic stroke) is usually much more severe than ischaemic stroke.

Cerebral haemorrhage results in a collection of blood, which clots. This puts pressure on nearby brain tissue and restricts the delivery of oxygen and nutrients. If not reversed with treatment, this can cause permanent brain damage. The major risk factor for haemorrhagic stroke is long-standing high blood pressure (hypertension) that weakens the walls of blood vessels, which then may split under the pressure.

Other risk factors for stroke (ischaemic or haemorrhagic) include:
Cigarette smoking
Uncontrolled diabetes
Atherosclerosis
Obesity
A high fat, high cholesterol, high salt diet
Family history
Excessive alcohol consumption
Advancing age
Atrial fibrillation (irregular heartbeat).
Long-term outlook:
A cerebral haemorrhage is a life-threatening emergency. Without prompt medical treatment, death may result. A person who survives may be left with permanent disabilities, since the brain tissue near to the ruptured vessel will be damaged or destroyed. The disabilities depend on the location and severity of the haemorrhage. Children seem to recover better than adults, probably because of the relative immaturity of their developing brains.

If you suspect a cerebral haemorrhage, seek urgent medical attention. The faster you can get treatment, the better the outlook for recovery. Some people make an excellent recovery following a haemorrhagic stroke.

Ni hayo tu kwa ufupi.

hivyo kama Presda amepata severe attack uwezo wa kuongoza utakuwa mdogo san.

Nilipobold ni very important for prognosis!!
 
Originally Posted by jmushi1
Nini kilicho out of topic MCHONGOMA?
Kwamba Mwanawasa anayemsapoti TSIVANGIRAI DHIDI YA MUGABE KAFA...NA KWAHIYO MUGABE NI OUT OF TOPIC?
Think before you say!
Na kama huna cha kusema...Basi na mimi nakwambia ni heri upige kimya kwani UFAHAMU WAKO UTAKUWA MATATANI.
Kwani ni wazalendo pekee waliokuwa wakipiga kelele KIKWETE ansisapoti vita vya kumuondoa MUGABE!
SASA WAZALENDO'S POINT PREVAILED...NA SASA NI MADONGO!
I AM HERE TO STAY GENTLEMAN!

Huwaga nakuja hapa kusoma taarifa na mijadiliano, huyu Jmushi akiingia basi ni vurugu kushoto mbele tembea utafikiri mgambo, wakati mwingine anajichanganya mwenyewe na kuanza kujijibu. Nafikiri anajaribu kufikisha post 10,000. Babu siyo kwa speed hiyo!!!! unachanganya na hata visivyo. Chombo cha kuzama hakina usukani!!
 
Kama Kuna credible source iliyopatikana basi iwekeni hapa otherwise hii post inaweza kuwa inaenda mbali na kuweka our credibility in question. Mwanawasa inabidi tumuache apumzike sasa.
 
Kama Kuna credible source iliyopatikana basi iwekeni hapa otherwise hii post inaweza kuwa inaenda mbali na kuweka our credibility in question. Mwanawasa inabidi tumuache apumzike sasa.
Mpaka sasa hakuna taarifa tofauti. Inaelekea bado yuko hai ingewa yu mahututi. Tutaendelea kufuatilia maendeleo ya afya yake.

Zambian president in intensive care in Paris

Wed 2 Jul 2008, 15:40 GMT

LUSAKA, July 2 (Reuters) - Zambian President Levy Mwanawasa has been admitted to intensive care in a Paris hospital but is in a stable condition, his vice-president said on Wednesday.

Mwanawasa is current chairman of the Southern African Development Community, which has been mediating between President Robert Mugabe and the opposition seeking to end a political and economic crisis in Zimbabwe. Mwanawasa, 59, was rushed to a hospital on Sunday in the Egyptian resort of Sharm el-Sheikh after suffering a stroke just before an African Union summit. He was flown to France from Egypt on Tuesday.

"He has been admitted to Percy military hospital in Paris, France. The president's condition has remained stable. He is receiving treatment for hypertension in the intensive care unit," Vice-President Rupiah Banda said in a statement.

The Zambian leader is a favourite of the International Monetary Fund and other Western donors, who have extended billions of dollars in debt relief after his crackdown on government spending and launch of an anti-graft drive.

He suffered a mild stroke in 2006. (Reporting by Shapi Shacinda; Editing by Michael Georgy and Ralph Boulton)
 
OMBA RADHI MTU KWAO Levy Yu Salama Bado; hii habari ya leo asubuhi BBC

Rais wa Zambia apelekwa Ufaransa.

Imebadilishwa na BBC






Rais wa Zambia apelekwa Ufaransa kwa matibabu.
Sikiliza Leo Afrika

Rais wa Zambia Levy Mwanawasa amepelekwa Paris Ufaransa kwa matibabu maalum baada ya kukumbwa na maradhi ya kiarusi Misri akihudhuria mkutano wa AU.
Rais Mwanawasa mwenye umri wa miaka 59, alipelekwa hospitalini siku ya Jumapili kabla ya kuanza mkutano wa viongozi wa Muungano wa Afrika, Sharm el-Sheikh Misri.

Makamu wa Rais wa Zambia Rupiah Banda amesema hali ya rais Mwanawasa inaridhisha.

Mkutano wa kawaida wa viongozi wa AU umemalizika kwa kutoa wito wa kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa nchini Zimbabwe.Bwana Mwanawasa amekuwa na msimamo mkali dhidi ya utawala wa Rais Robert Mugabe.

Kwa wadhifa wake wa mwenyekiti wa Jumuia ya nchi za maendeleo kusini mwa Afrika (Sadc) alisema aliafiki msimamo wa kiongozi wa upinzani wa Zimbabwe Morgan Tsvangirai alipojitoa katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais kwa sababu za machafuko ya kisiasa dhidi ya wafuasi wake.

Alisema kufanya uchaguzi katika mazingira kama yaliyokuwepo Zimbabwe kutaifedhehesha jumuia ya Sadc na halikadhalika bara zima la Afrika.

Alifananisha hali ya uchumi wa Zimbabwe sawa na meli iliyozama ya Titanic.
 
omba Radhi mtu Kwao Levy Yu Salama Bado; Hii Habari Ya Leo Asubuhi Bbc

Rais Wa Zambia Apelekwa Ufaransa.

Imebadilishwa Na Bbc






Rais Wa Zambia Apelekwa Ufaransa Kwa Matibabu.
Sikiliza Leo Afrika

Rais Wa Zambia Levy Mwanawasa Amepelekwa Paris Ufaransa Kwa Matibabu Maalum Baada Ya Kukumbwa Na Maradhi Ya Kiarusi Misri Akihudhuria Mkutano Wa Au.
Rais Mwanawasa Mwenye Umri Wa Miaka 59, Alipelekwa Hospitalini Siku Ya Jumapili Kabla Ya Kuanza Mkutano Wa Viongozi Wa Muungano Wa Afrika, Sharm El-sheikh Misri.

Makamu Wa Rais Wa Zambia Rupiah Banda Amesema Hali Ya Rais Mwanawasa Inaridhisha.

Mkutano Wa Kawaida Wa Viongozi Wa Au Umemalizika Kwa Kutoa Wito Wa Kuundwa Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa Nchini Zimbabwe.bwana Mwanawasa Amekuwa Na Msimamo Mkali Dhidi Ya Utawala Wa Rais Robert Mugabe.

Kwa Wadhifa Wake Wa Mwenyekiti Wa Jumuia Ya Nchi Za Maendeleo Kusini Mwa Afrika (sadc) Alisema Aliafiki Msimamo Wa Kiongozi Wa Upinzani Wa Zimbabwe Morgan Tsvangirai Alipojitoa Katika Duru Ya Pili Ya Uchaguzi Wa Rais Kwa Sababu Za Machafuko Ya Kisiasa Dhidi Ya Wafuasi Wake.

Alisema Kufanya Uchaguzi Katika Mazingira Kama Yaliyokuwepo Zimbabwe Kutaifedhehesha Jumuia Ya Sadc Na Halikadhalika Bara Zima La Afrika.

Alifananisha Hali Ya Uchumi Wa Zimbabwe Sawa Na Meli Iliyozama Ya Titanic.

I Think It Is Very Important That We Check The Validity Of All The Information We Here Before Post Anything And If We Are Not Sure, We Need To State So. We Do Not Wan't To Loose The Credibility Of This Forum, Which Took So Long To Build!!! God Bless Tanzania!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom