Obituary: Zambia's Levy Mwanawasa

Mtu wa Kwao

JF-Expert Member
Jan 15, 2008
258
21
Habari niliyoipata sasa toka kwa chanzo cha habari hii,ni kwamba,rais Mwanawasa ametutoka jamani.Tunajau tulimpenda na hasa wanachi wa Zambia ila Mungu kampenda zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Too sad indeed! RIP Mwanawasa, you played your role and left a positive mark in Africa. We shall remember you as one of the tiny proportion of African leaders who tried hard to promote and protect democracy in our continent.
 
mmh duh huko ZAMBIA mafisadi nini wamemtoa roho kwa maana alikuwa na BIFU na CHIRUBA.

mmmh RIP Levy Mwanawasa.
 
Pumzika kwa amani Levy.......ingekuwa vipi ingekuwa Mugabe katutoka leo?
 
Kila siku watu wanakufa hakuna jipya hapo ,ila kama kuna jambo muhimu ambalo linafaa kuigwa na kufuatwa basi hilo ndilo la kulifanyia jitihada tulirisi ,kuna akina Chifupa na wengine wamekufa na tukasikitika sana ,kama Chifupa aliwacha hazina ya magogo na vifaa vya wabwia unga hivi hoja yake na mikakati yake imefikishwa wapi ? Anapoanguka mmoja waliobakia waendelee na mapambano la tukianza kulia na kuonyesha simanzi mafisadi watawamaliza na kutumaliza sote ,tuache kulia lia halafu mwanamme halii wala hasononeki nyie vipi ala' ?
 
God sometimes anaonekana hayuko fair...kamchukua L. Mwanawasa na kumuacha R. Mugabe mwenye miaka 84 akiwa anadunda..!!??

R.I.P Levy Mwanawasa.
 
Watu wanasemaga watu wema hufa mapema and the real bad people live for ever.

May the good Lord rest his soul in eternal peace.
 
Mkuu Tupatie Chanzo Cha Habari Maana Tumeingia News Room Nyingi Hawana Taarifa Hizo
 
Mkuu Tupatie Chanzo Cha Habari Maana Tumeingia News Room Nyingi Hawana Taarifa Hizo
kama huamini subiri jk akiudi aseme mkuu.Maana hata Nyerere alipofariki tulisikia kama hivi na hatukuwa na imani mpka amkapa alipotangaza sasa subir ila wakuu waliopo huko kwenye mkutano Sham El Sheikh tayari wana taarifa hii mkuu.
 
Back
Top Bottom