Obituary: Zambia's Levy Mwanawasa

So far hii habari haina ukweli wowote, nafikiri ni story za mtaani and one of those JF breaking news tulizozizoea. Kama hii habari ingekuwa ya kweli tayari nvyombo vya habari vingeshasema. Nimeongea na rafiki yangu ubalozi wa Zambia amekanusha hii habari. So far nafikiri ni zilezile breaking news za Chenge amekufa!!!!!!
 
Bado si ya kuondoa hapa.... tuendelee kutafuta maana kwa sasa naona wenye mamlaka kisheria ya kutoa tamko ni serikali ya Zambia, lakini kwa kuwa ni Rais aliye madarakani, kuna mambo mengi ya kuangaliwa kabla ya kutoa tamko lolote ZITO
 
Mbona nasikia mwanawasa yupo PARIS ANATIBIWA?

Hollo kama kweli wewe ni CHENGE...
Nina swali moja kwako!
Zitto keshakwambia kafa.
Kama huna uhakika...Mpigie JK simu kwani yuko huko EGYPT.
Mbona uliamini BALALI KAFA NA HUTAKI KUAMINI MWANAWASA KAFA?
Kaeni mkao wa kiuhuru uhuru!
Ila nchini msitoroke kwani JK akirudi huko mmekwisha!
 
Hadi ninapoandika post hii, nimethibitisha kuwa bado Mwanawasa yuko hai; hata hivyo, brain haemorrhage ni tatizo la hatari sana. Probability ya kupona kutokana na braini haemorrhage ni 50% na hasa inategemea mambo kadhaa ikiwemo promtness ya kumpatia matibabu, umri wa mgonjwa, na kama mgonjwa ana historia ya kuvuta sigara na kunywa pombe kwa wingi sana. Hata kama akipona, akili yake itakuwa imeharibika kwa kiasi fulani na atabaki na utaahira fulani maisha yake yote. Kuiweka katika lugha rahisi ni kuwa Mwanawasa hawezi kuendelea vizuri tena na madaraka yake kama rais wa Zambia; hata Ariel Shalon wa Israel alianza vivyo hivyo.

Hii wataalamu wanaita Cerebral Haemorrhage, hebu tupate kujua kidogo hii ni nini, kwa kusoma maelezo yafuatayo:

Cerebral haemorrhage

A cerebral haemorrhage is bleeding from a ruptured blood vessel in the brain. Without prompt medical treatment, this can result in death. A person who survives may be left with permanent disabilities, depending on the location and severity of the brain damage. Cerebral haemorrhage is commonly referred to as a type of stroke.

Types of brain haemorrhage
The brain is wrapped in three membranes, each serving a different function. The innermost membrane contains the blood vessels. The brain is nourished and cushioned by cerebrospinal fluid, which is contained between this first membrane and the second membrane. The third and last membrane (dura) lines the inside of the skull and is comparatively thick and tough.

A intracerebral haemorrhage is any bleeding that occurs inside the brain tissue. Bleeding that occurs in the space between the first and second membranes around the brain is called a subarachnoid haemorrhage.

Symptoms:
The symptoms of a cerebral haemorrhage vary according to the location and severity of the bleeding, but may include:

Sudden onset of symptoms
Weakness
Clumsiness
Numbness or pins and needles of the face, arm or leg – usually on one side of the body
Paralysis on one side of the body
Slurring speech or difficulty finding words
Severe headache
Nausea
Vomiting
Drowsiness
Unconsciousness
Dizziness
Difficulty walking or loss of balance
Confusion.

Strokes
‘Stroke’ or ‘brain attack’ are non-medical terms used to describe the disruption of blood flow to the brain. This may be caused by cerebral haemorrhage (haemorrhagic stroke) or by blockage of an artery (ischaemic stroke). Approximately one in 10 strokes is caused by cerebral haemorrhage. This type of stroke (haemorrhagic stroke) is usually much more severe than ischaemic stroke.

Cerebral haemorrhage results in a collection of blood, which clots. This puts pressure on nearby brain tissue and restricts the delivery of oxygen and nutrients. If not reversed with treatment, this can cause permanent brain damage. The major risk factor for haemorrhagic stroke is long-standing high blood pressure (hypertension) that weakens the walls of blood vessels, which then may split under the pressure.

Other risk factors for stroke (ischaemic or haemorrhagic) include:
Cigarette smoking
Uncontrolled diabetes
Atherosclerosis
Obesity
A high fat, high cholesterol, high salt diet
Family history
Excessive alcohol consumption
Advancing age
Atrial fibrillation (irregular heartbeat).
Long-term outlook:
A cerebral haemorrhage is a life-threatening emergency. Without prompt medical treatment, death may result. A person who survives may be left with permanent disabilities, since the brain tissue near to the ruptured vessel will be damaged or destroyed. The disabilities depend on the location and severity of the haemorrhage. Children seem to recover better than adults, probably because of the relative immaturity of their developing brains.

If you suspect a cerebral haemorrhage, seek urgent medical attention. The faster you can get treatment, the better the outlook for recovery. Some people make an excellent recovery following a haemorrhagic stroke.

Ni hayo tu kwa ufupi.

hivyo kama Presda amepata severe attack uwezo wa kuongoza utakuwa mdogo san.
 
Sasa hivi nilikuwa ninaongea na Rafiki yangu Mzambia ambaye Mzazi wake anafanya kazi Ofisi ya Rais pale Lusaka akasema kuwa Ikulu yenyewe ya Lusaka haijakumfim hizi habari.
Tuwe Macho.
 
Nasikia mpakani Tunduma tayari KWACHA imesha anza kushuka kwa kasi ya ajabu yaani imeporomoka kutokana na mshtuko wa kifo hiki cha Mwanawasa msiba huu utawaathiri sana wafany biashara wa mpakani Tunduma.Kwacha ikishuka basi biashara hakuna kwani wateja watakuwa wanaona wanapigwa bei juu na kuamua kurudi kwao tena bila kununua bidhaa.
 
Mbona tunachanganywa sasa???
Mara yupo hai mala amefariki mara yupo Paris sasa tuamini lipi na tuache lipi?
 
Jamani twende slow na hii issue, naona tayari watu wameanza kum-quote Zitto hapa kuwa keshatwambia kuwa Mwanawass kafa, tusije tukamzulia Zitto wa watu sheshe hapa.

Hollo kama kweli wewe ni CHENGE...
Nina swali moja kwako!
Zitto keshakwambia kafa.
Kama huna uhakika...Mpigie JK simu kwani yuko huko EGYPT.
Mbona uliamini BALALI KAFA NA HUTAKI KUAMINI MWANAWASA KAFA?
Kaeni mkao wa kiuhuru uhuru!
Ila nchini msitoroke kwani JK akirudi huko mmekwisha!
 
Le président Zambien transporté en France pour y être hospitalisé

SHARM EL-SHEIKH (Egypte) - Le président zambien Levy Mwanawasa a été transporté en France mardi après avoir subi une commotion cérébrale en Egypte, a-t-on appris de source officielle.
"Le président zambien est parti dans la soirée pour la France afin d'y recevoir de nouveaux soins", a déclaré à l'AFP le docteur Sait Essen, qui dirige les service d'urgence du Sud Sinaï. "Son état était stable quand il est parti".
A Paris, de source diplomatique française, on confirmait que le président zambien devait arriver dans la nuit de mardi à mercredi à l'hôpital militaire de Percy-Clamart, près de Paris.
M. Mwanawasa devait participer dimanche à Sharm-el-Sheikh au Conseil de paix et de sécurité de l'Union africaine, un organe chargé de la prévention des conflits. Il avait du y renoncer après avoir souffert de douleurs aiguës à la poitrine et il avait été hospitalisé.
Lundi, son adjoint, Rupiah Banda, avait déclaré que le président souffrait d'une commotion cérébrale. Il avais été admis dans le service des soins intensifs de l'hôpital de Sharm el-Sheikh, sur la mer rouge, où les dirigeants africains tenaient leur sommet.
M. Mwanawasa, 59 ans, dirige la Zambie depuis 2002.
 
Hollo...Umepoteza mawasiliano na Kikwete?
Sasa badala ya kumpigia simu ili akueleze kwa kiswahili...Wewe unaenda kuangalia kifaransa na una copy na ku paste!
Du...! Uncle are you ok?
 
Habari niliyoipata sasa toka kwa chanzo cha habari hii,ni kwamba,rais Mwanawasa ametutoka jamani.Tunajau tulimpenda na hasa wanachi wa Zambia ila Mungu kampenda zaidi.

Mpaka sasa hivi 17:21 Hrs niandikapo message hii hakuna taarifa yoyote kuhusu kifo cha Mwanawasa on any of the Major News Agencies. Labda mkuu Mtukwao ucheki tena na chanzo chako cha habari. Si vyema tu tukawawish RIP wenzetu ambao bado ni wazima hata kama wako mahututi kiasi gani..:(
 
Hollo...Umepoteza mawasiliano na Kikwete?
Sasa badala ya kumpigia simu ili akueleze kwa kiswahili...Wewe unaenda kuangalia kifaransa na una copy na ku paste!
Du...! Uncle are you ok?

Kalazwa kwenye hospital aliyolazwa RIP YASSEN ARAFAT!any way tusubiri habari zaidi as far as na yeye ni binadamu aliumbwa kwa mavumbi na mavumbini atarudi!Any thing may happen!
Asante
Hollo
 
Kalazwa kwenye hospital aliyolazwa RIP YASSEN ARAFAT!any way tusubiri habari zaidi as far as na yeye ni binadamu aliumbwa kwa mavumbi na mavumbini atarudi!Any thing may happen!
Asante
Hollo

Je wewe unaamini BALALI KAFA?
 
Bush Anazungumzia G8 Summit Hapa Nitawaletea News Kama Kuna Ya Muhimu Ambayo Nafikir Tunatakiwa Tushirikiane.
 
kwani balali yeye si binadamu?BINADAMU aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi nazo zimejaa taabu!

Hakuna aliyesema MWANAWASA NA BALLALI SI BINADAMU!
Ila wewe umekuwa na UWEZO WA KUTULETEA HABARI KUWA MWANAWASA YUKO HOSPITALI ALIYOLAZWA YASSER ARAFAT HUKO UFARANSA.
Sasa mbona huleti na HOSPITALI ALIYOLAZWA BALLALI KAMA KWELI UNAAMINI WOTE NI BINADAMU?
 
Back
Top Bottom