Obituary: Zambia's Levy Mwanawasa

Hakuna aliyesema MWANAWASA NA BALLALI SI BINADAMU!
Ila wewe umekuwa na UWEZO WA KUTULETEA HABARI KUWA MWANAWASA YUKO HOSPITALI ALIYOLAZWA YASSER ARAFAT HUKO UFARANSA.
Sasa mbona huleti na HOSPITALI ALIYOLAZWA BALLALI KAMA KWELI UNAAMINI WOTE NI BINADAMU?

Samahani sana habari za balali kwenye hii thread si mahali pake!kuna thread nyingi tu hapa JF za kuhusu balali ukitaka kujua habari za hospital aliyolazwa nenda tembelea hizo thread!
Asante
 
Hollo...Umepoteza mawasiliano na Kikwete?
Sasa badala ya kumpigia simu ili akueleze kwa kiswahili...Wewe unaenda kuangalia kifaransa na una copy na ku paste!
Du...! Uncle are you ok?

.............hivi ni nani anastahili kumuuliza mwenzake swali hilo??.........
 
.............hivi ni nani anastahili kumuuliza mwenzake swali hilo??.........

Kazi kweli kweli humu ndani ......ni kama kale kahadisi ka kichaa alipomkuta jamaa anaoga mtoni akachukua nguo zake na kuanza kukimbia nazo yule jamaa naye akataharuki na kiuanza kumkimbiza ......sasa hapo mmoja ananguo na mwingine hana ila anaita mwizi mwizi ..........
 
Du,hii habari! Hebu nivute subira kusema RIP.Halafu huyu mtu Wa Pwani analeta habari na kupotea,tuwe makini sana na huyu mtu.Huwa Ana tabia ya kukurupuka sana
 
Kabla hawajatuletea habari za MWANAWASA KWAMBA KAFA AMA LA...WATULETEE ZA BALLALI!
Kwani hadi sasa hata hospitali aliyolazwa ni kitendawili tega!
 
What?
Kati yangu mimi na nani?
Mi si fisadi! MAFISADI NDIYO WAKU ULIZWA NA SI MIMI!
Watu waliopora mabilioni ya DOLA ndio wa kuulizwa!
Na nyie mnaoamini BALLALI KAFA BILA ANY PROOF!
SITAKI UNAFIKI!

NB:Kama kweli Hollo ni Chenge.Kwanini hana connection ya habari muhimu kama ilivyo wazi kuhusu Uvijisenti wake?
Ama yeye na KIKWETE HAZIIVI TENA?
Ninavyojuwa mimi...Kama bado wangekuwa na uhusiano mzuri..Basi asingekwenda ku copy na kupaste hiyo habari ya kifaransa.Kwani naamini Kikwete pia huzungumza kiswahili.
Ama wewe si MZARAMO?


kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi...............hivi tunazungumzia nini vile......somebody help me........hihihihihi.....aaaggh hahahahaha,

jmushi1.............hebu punguza mseto ndugu yangu......hahahah
 
Le président Zambien transporté en France pour y être hospitalisé

SHARM EL-SHEIKH (Egypte) - Le président zambien Levy Mwanawasa a été transporté en France mardi après avoir subi une commotion cérébrale en Egypte, a-t-on appris de source officielle.
"Le président zambien est parti dans la soirée pour la France afin d'y recevoir de nouveaux soins", a déclaré à l'AFP le docteur Sait Essen, qui dirige les service d'urgence du Sud Sinaï. "Son état était stable quand il est parti".
A Paris, de source diplomatique française, on confirmait que le président zambien devait arriver dans la nuit de mardi à mercredi à l'hôpital militaire de Percy-Clamart, près de Paris.
M. Mwanawasa devait participer dimanche à Sharm-el-Sheikh au Conseil de paix et de sécurité de l'Union africaine, un organe chargé de la prévention des conflits. Il avait du y renoncer après avoir souffert de douleurs aiguës à la poitrine et il avait été hospitalisé.
Lundi, son adjoint, Rupiah Banda, avait déclaré que le président souffrait d'une commotion cérébrale. Il avais été admis dans le service des soins intensifs de l'hôpital de Sharm el-Sheikh, sur la mer rouge, où les dirigeants africains tenaient leur sommet.
M. Mwanawasa, 59 ans, dirige la Zambie depuis 2002.


SHARM el-sheikh (Egypt) - The Zambian president Levy Mwanawasa was transported to France on Tuesday after undergoing a cerebral concussion in Egypt, it was learnt from official sources. "Zambian president left in the evening for France in order to receive further medical care there ", declared to the AFP Doctor Sait Essen, the director of emmergency services in South Sinai. "His state was stable when he left". In Paris, France's diplomatic sources confirmed that the Zambian president had to arrived in the night of Tuesday-Wednesday at the military hospital of percy-clamart, close to Paris. On Sunday at Sharm-el-Sheikh, Mr. Mwanawasa was attending meeting of the council for peace and security of the African Union, an organ cahrged with the prevention of conflicts on the continent. He had to leave the meeting and be hospitalized after suffering from sharp pains in the chest. On Monday, his assistant, Rupiah Bandaged, declared that the president suffered from a cerebral concussion. He had been admitted in the the intensive care unit at the hospital of Sharm el-sheikh, on the red sea, where the African leaders held their summit. Mr. Mwanawasa, 59 years, has been leading Zambia since 2002.
 
RIP mwanawasa, you did your best during your lifetime for you will be remembered.
 
kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi...............hivi tunazungumzia nini vile......somebody help me........hihihihihi.....aaaggh hahahahaha,

jmushi1.............hebu punguza mseto ndugu yangu......hahahah

Chenge alifurahia kifo TATA cha BALLALI.
Ila ameshtushwa na kifo TATA cha MWANAWASA!
Katafute msaada ila niko hapa!
 
Chenge na Mwanawasa ni wapenzi ama mashabiki wa Tsivangirai na si MUGABE.
Walimpa Kikwete ushauri mbaya na sasa mnajuwa yote.

Wanajuwa kubadili mawazo kwa kikwete si dalili nzuri kwao.

Kwani mgawanyiko wa AFRIKA ULIKUWA MBAYA!
TUNAONA MBALI...HIVYO TUACHE KUDHARAULIANA.

Kifo cha Mwanawasa ni ushindi kwa MUGABE.

Ushindi kwa MUGABE..Ni kushindwa kwa CHENGE NA TSIVANGIRAI waliokuwa wakitaka vita vitokee ili hata habari za UFISADI ZIFE!

Kufa kwa Mwanawasa na kusapoti uamuzi wa Zimbabwe kwa Kikwete kunapelekea wasi wasi mkubwa na usishangae hata CHENGE mwenyewe anataka kutoroka nchi kama anvyofanya ROSTAM AZIZI!

Nchi iliuzwa kwa makampuni ya Afrika kusini ambayo hayana nia nzuri na TANZANIA WALA ZIMBABWE WALA AFRIKA! Hilo lilimchukiza sana MBEKI!
Tumepiga kelele sana hapa na MAMBO YANAKWENDA KAMA MUNGU ALIVYOPENDA!
 
Du,hii habari! Hebu nivute subira kusema RIP.Halafu huyu mtu Wa Pwani analeta habari na kupotea,tuwe makini sana na huyu mtu.Huwa Ana tabia ya kukurupuka sana

Sorry,namaanisha mtu kwao
 
Mama,

Unajua nilikua naogopa kutoa RIP. Basi RIP Mwanawasa,natoa salamu za rambirambi kwa Wazambia woote pamoja na Waafrika wote wenye kupenda Demokraisia haia katika bara letu.Huyu ni mpambanaji muhimu sana Zambia na Afrika kwa ujumla wamempoteza


Kwa yule mleta habari, naomba msamaha kwa kusita kuipokea habari yako na kukuhusisha na ukurupukaji.I'm very very sorry bro/sister
 
Bado ni habari ambayo hatupaswi kuipokea 100 kwa 100 kama wabunge wa kule mjengoni ila naamini tutapata ukweli soon na haswa baada ya kufahamu hosipitali alikolazwa ,kuna mtu anafuatailia kupata jibu kutoka ndani ya hosipitali .
 
Bado ni habari ambayo hatupaswi kuipokea 100 kwa 100 kama wabunge wa kule mjengoni ila naamini tutapata ukweli soon na haswa baada ya kufahamu hosipitali alikolazwa ,kuna mtu anafuatailia kupata jibu kutoka ndani ya hosipitali .

Duh,

JF iko kila corridor sasa.
 
Maskini hii ni habari ya kustua sana. Poleni wandugu zetu wa Zambia. Poleni sana. Hata hivyo tumempoteza kiongozi mahahili hapa Africa.
 
Back
Top Bottom