niwaellyester1
Senior Member
- Sep 7, 2010
- 123
- 19
hili swali ni kwa wadada zaidi, me nywele zangu zimekatika sana hadi huruma, hasa mbele, nafikiria kunyoa nianze upya ila duh!!! nina kichwa kibaya , uzuri wangu utaharibika so nataka nikomae nazo, naomba mnishauri cjui nipake dawa gani , mafuta gani nitumie au nisuke nini ili zirudi