Nyuzi za mapenzi na ndoa zimezidi huu ndio utafiti niliokuwa nafanya hapa JF kwa muda fulani

proton pump

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
5,363
6,902
Wasaalamu,

dronedrake kiongozi wa Nyeto baba wa kataa ndoa ni utumwa. I, proton pump baba wa No Fap.

Nimechunguza nyuzi nyingi za hivi karibuni zinahusu maumivu ya mapenzi zikiwemo;

1. Vijana kulipa mahari halafu mwanamke anakuacha.

2. Watu wameoa mara mtoto x sio wa kwako

3. Upo kwenye ndoa unanyimwa mbususu.

4. Umempenda mwanamke unataka kupeleka mahari wazazi wanakukataa.

5.Unahisi mke wako anachepuka na anakuletea dharau.

6. Mwanamke uliyeta kumuoa anabeba mimba na mtu mwingine.

7. Mwanamke amekukuta ukiwa na maendeleo unashangaa unafilisika ghafla

8. Wanaume wanakurudiana na ex kwa sababu ya upendo kupitiliza.

9. Baada ya kurudiana na ex vurugu zinakurudi upya.

๐Ž๐ง๐ ๐ž๐ณ๐ž๐š ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ค๐ฎ๐ง๐š ๐ฎ๐ณ๐ข ๐š๐ฆ๐›๐š๐จ ๐ฎ๐ฆ๐ž๐ฎ๐ฌ๐จ๐ฆ๐š.

NINI KIFANYIKE?
Majibu ya moja kwa moja sijapata hadi sasa itabidi nirudie utafiti. Ila vijana wekeni haya akilini mwenu.

Ulimwengu wa sasa umetawaliwa na vitu (world of materialism). Mwanamke kiumbe mpenda vitu. Kila kizuri mbele yake lazima awe na tamaa nacho. Mfano unaweza kumpa gari zuri, akaja wa kumpa mafuta ya 10,000 na akachepuka. Swali linakuja mme wake ameshindwa kumnunulia mafuta? Umemnunulia simu anakuja chalii na vocha anamla. Umejenga nyumba na uzio, house boy au gateman anamfaidi. Unampa hela anachukua kuhonga mtu wa hovyo anamla. Kimsingi hawa viumbe hawatabiriki.

Kuhusu kumridhisha mwanamke kwenye sex. Hapa sijajua kama kuna mwanaume anaweza kushindana na sehemu uliyotokea. Mf kumsugua sana, kuwa na uume mrefu. Matumizi ya madawa ya nguvu za kiume. Haya yote unaweza kufanya lakini akachepuka na kukutia stres.

Kumlinda mwanamke dhidhi ya wanaume wengine ni kazi pia tena ngumu. Mwisho wa siku unaweza ukafa ghafla.

Kumpa mwanamke vitu vizuri ili akupende zaidi soma (aya ya kwanza) ni wachache wenye msimamo.

Nini ukifanye ili kupunguza stress?

Jifunze kujipenda wewe kwanza. Jitunze, kula vizuri, vaa vizuri, fanya mazoezi, yaani hakikisha afya yako ni nzuri. AFYA NI MTAJI TOSHA KATIKA HAYA MAISHA.

Kuwa na kiasi, usipende hadi kupitiliza utakuja kuumia sana na kushindwa kufanya mambo mengine. Usiwekeza asilimia zote kwa mwanamke.

Usirumdie mwanamke aliyekusumbua sana. Stress zinaweza kuanza upya. (Mapenzi ni upofu, here people will perish without knowledge).

Ukitaka kumsahau mtu mliyeachana, anza kupunguza mawasiliano. Mfano kama ulikuwa unatuma msj 10 tuma 2 kwa siku hadi unasahau na kufuta namba (wengine wamekariri). Futa picha zake na video kwenye simu yako.

Fanya vitu unavyovipenda, mf. Kusikiliza mziki, kucheza mpira, n.k.

Ongea na mtu unamwamini hata kwa kiasi inasaidia kupunguza uzito wa moyo. Japo anaweza kukusemea lakini usitembee na kitu kifuani. Ukiwa huna sehemu ya kusemea ni rahisi kupata msongo, presha, na kujiua wakati mwingine.

wekeza nguvu zako nyingi kwenye vitu vinavyoongeza kipato. Angalia biashara zako, mashamba, mifugo n.k ๐˜๐š๐š๐ง๐ข ๐ญ๐š๐Ÿ๐ฎ๐ญ๐š ๐ก๐ž๐ฅ๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐›๐ข๐๐ข๐ข ๐ข๐ฅ๐ข ๐ฎ๐ฐ๐ž ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ž๐ง๐๐ž๐ฅ๐ž๐จ ๐ฆ๐š๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข.

Tumia hela zako vizuri, punguza ulevi, ngono, usimpe mwanamke zawadi ambazo hata mkiachana utazikumbuka sana. ( Kama umempa kitu mkiachana usimnyang'anye itakushusha sana na kuonesha huwezi kutafuta vingine). Kitu unaweza kukitafuta na kupata kingine kisikuumize ova.

Usisahau kuabudu na kuomba, omba kile unachokiamini kinakusaidia.
 
Neutral world

Mapenz ndio furaha ya dunia
 
Back
Top Bottom