Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
anaishi na mateja
Achana naye hilo ni suala la kifamilia zaidi. Ngoja nimuulize baba mwenye nyumba wangu kama mwaka huu atapandisha pango
Mbona nyumba yenyewe rahisi tu...........
moderators mko wapi, hii post si ilitakiwa iwe ishafutwa au?
mungu wangu mungu wangu jamani nchi hii inakwenda wapi? Huyu dogo kapata wapi pesa ya kujenga nyumba yenye thamani kubwa kiasi hicho? Jamani nisaidie kujua kama kuna mtu anajua hizi tetesi vizuri
Jamani kama huna source wala ushahidi usiongee tu, nyumba ya Ridhiwani anayoishi pale mikocheni ni ya kawaida sana ambayo hata dhamani yake haifiki mil 400 naijua vizuri sana. Si kwamba namtetea ila naongea ukweli nalionao

Mwanza, asante kwa hili, hata mimi ninayoifahamu ni pale anapoishi na ni ya kawaida sana tuu.Jamani kama huna source wala ushahidi usiongee tu, nyumba ya Ridhiwani anayoishi pale mikocheni ni ya kawaida sana ambayo hata dhamani yake haifiki mil 400 naijua vizuri sana. Si kwamba namtetea ila naongea ukweli nalionao
house boy
Billioni nne unazijuwa au unazikis tu?
Jumba la billioni nne, liyakaa hivyo?
Mijitu mingine, huwa haina haya kabisaaa!