Nyumba yenye thamani ya bilion 4 Ridhiwani Kikwete anaishi na nani humo?

Status
Not open for further replies.

zamlock

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
3,840
657
jamani haya ni kweli hizi pesa zote kazitoa wapi wakati watanzania wanakufa na njaa mungu wangu

2qiz778.jpg

=========================

Updates:

Hii habari si Kweli. Kwani hii ni nyumba ya Wageni iitwayo H&A Guest Houses - Whale and Dolphin Lodges, Ipo Afrika Kusini.

Aliyeleta Hii habari, Picha aliitoa HAPA.
 
mungu wangu mungu wangu jamani nchi hii inakwenda wapi? Huyu dogo kapata wapi pesa ya kujenga nyumba yenye thamani kubwa kiasi hicho? Jamani nisaidie kujua kama kuna mtu anajua hizi tetesi vizuri
 
Mkuu hapo hakuna ushahidi..........kama vipi tuletee ushahidi plus some pic za hiyo nyumba
 
Umesikia wapi hii issue, na je kipato chake (whatever he does) hakiendani na uwezo huu, au labda kaomba mkopo? In short put some more meat kwenye hii habari.
 
Huyo mwambieni asubiri moto wa Katiba mpya maana mafisadi wote na wanaotumia nafasi za umma kuchuma mali watakiona. Kipato chake halali kinatakiwa kufahamika kwa kuwa kasoma hapa hapa na hana biashara! Tunajua kwa kiwango kikubwa matukio ya kifisadi anayofanya yanayohusisha yeye kutumia jina la baba yake. Tena tunazo fisadi cables za Tanzania ambazo tyuvumilie vimiaka vipite kwanza na hasa baada ya katiba mpya kuwekwa ndio tuanze kushusha moja baada ya nyingine. Itakuw araha sana kurejesha kile walichoibiwa wananchi na wajanja wachache
 
mungu wangu mungu wangu jamani nchi hii inakwenda wapi? Huyu dogo kapata wapi pesa ya kujenga nyumba yenye thamani kubwa kiasi hicho? Jamani nisaidie kujua kama kuna mtu anajua hizi tetesi vizuri
Umbeya/wivu huo, hiyo nyumba iko wapi na nani kaithaminisha.
 
sini baba yake amempa? simple and clear.
wewe ukiwa raisi utashindwa kumpa pesa mtoto wako?
jamani msinimeze mimi hayo ni mawazo yangu tu
 
mungu wangu mungu wangu jamani nchi hii inakwenda wapi? Huyu dogo kapata wapi pesa ya kujenga nyumba yenye thamani kubwa kiasi hicho? Jamani nisaidie kujua kama kuna mtu anajua hizi tetesi vizuri
dogo.... huu ndio tunauita ungifi...

Kama umekuja na taarifa basi leta data, sio unaanza na kulalama na kuomba data wakatiw ewe ndio mwenye hoja, sisemi kwamba dogo ni clean, but the approach u use is not the best way ya kuondoa majungu

Kama ni data, wenye nazo huja nazo bila wewe kuomba

dah
 
Achana naye hilo ni suala la kifamilia zaidi. Ngoja nimuulize baba mwenye nyumba wangu kama mwaka huu atapandisha pango
 
kama kweli basi ni sisi wote watanganyika ndio tumemnunulia nyumba hiyo kupitia kodi zetu na ufisadi wa baba yake mkwere.
 
mungu wangu mungu wangu jamani nchi hii inakwenda wapi? Huyu dogo kapata wapi pesa ya kujenga nyumba yenye thamani kubwa kiasi hicho? Jamani nisaidie kujua kama kuna mtu anajua hizi tetesi vizuri

weka picha hapa usilete za kitaa hapa
 
Ha ha ha ha ha, kwenye nchi ambayo watu hawako accountable na mali walizonazo hakuna la ajabu bali la kushtua kwenye suala la mali.Sitoshangaa kabisa hata kama ningeambiwa ana nyumba ya bilioni 100 ila ntasikitika tu.Kuna mengi ya kushughulikia nchi hii,safari ni ndefu,Mungu atusaidie kabla hatujafa tuwe tumebadili machache.
 
mungu wangu mungu wangu jamani nchi hii inakwenda wapi? Huyu dogo kapata wapi pesa ya kujenga nyumba yenye thamani kubwa kiasi hicho? Jamani nisaidie kujua kama kuna mtu anajua hizi tetesi vizuri

Pata data kwanza kabla ya kuanza kusikitika. Inawezekana ni udaku tu.
 
Achana naye hilo ni suala la kifamilia zaidi. Ngoja nimuulize baba mwenye nyumba wangu kama mwaka huu atapandisha pango

mkuu .... nashukuru kwa kusikiliza kilio changu kuhusu avatar yako..... hii ya ka ndafu afadhali....
 
Hizi habari ambazo hazina source mnazipata wapi? Angalau weka hata picha basi ....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom